
MTONI QUEENS NA SABASABA QUEENS ZAFURAHIA UJIO WA MERIDIANBET
Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania, Meridianbet leo hii tarehe 28 imeendelea na juhudi zake za kuisaidia jamii ambapo safari hii iliamua kuwagusa wanawake hasa katika sekta ya michezo. Timu za Mtoni Queens na Sabasaba Queens wamepokea vifaa vya michezo siku ya leo yaani mipira na jezi ambazo hizi zinapatikana katika kata ya Mtoni, jijini Dar…