
SIMBA YAENDELEA KUVILA VIPORO BILA NDIMU, YASOGEA KARIBU NA YANGA
Simba Wameendelea kuvila viporo bila ndimu baada ya kuibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya JKT Tanzania katika dimba la Meja Jenerali Isamuhyo na kusogea mpaka alama 7 nyuma ya vinara Yanga Sc. FT: JKT Tanzania 0-1 Simba Sc ⚽ 45+6’ Ngoma MSIMAMO NBCPL 🔝4️⃣ 🥇 Yanga Sc — mechi 26 — pointi 70 🥈…