
VIDEO: MANGUNGU KUHUSU KARIAKOO DABI JUNI 25
MWENYEKITI wa Simba SC, Murtanza Mangungu Juni 22 aliweka wazi kuwa kila mchezo ndani ya ligi ni muhimu na wanafanya maandalizi kwa umakini kwa kila mchezo uliopo mbele yao.
MWENYEKITI wa Simba SC, Murtanza Mangungu Juni 22 aliweka wazi kuwa kila mchezo ndani ya ligi ni muhimu na wanafanya maandalizi kwa umakini kwa kila mchezo uliopo mbele yao.
Wewe ni mmoja wa wanaotafuta nafasi ya kujishindia zawadi yenye thamani? Meridianbet imekuandalia promosheni kabambe ambapo unaweza kuibuka mshindi wa simu mpya aina ya Samsung A25 kwa kucheza mchezo wa kusisimua wa Super Heli. Kuanzia tarehe 1 hadi 30 Juni, washindi wawili watajinyakulia simu hizi kila Jumatatu kwa kushiriki tu kwenye mchezo huu wa kasino…
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa orodha ya awali ya waliochukua na kurudisha fomu kuomba uongozi katika Shirikisho hilo kwa nafasi za Urais na nafasi ya Wajumbe wa Kamati ya Utendaji. Waliorudisha fomu hizo ni Ally Mayay Tembele, Ally Thabit Mbingo, Mbette Mshindo Msolla, Mustapha Salumu Himba, Shija Richard Shija na Wallace John…
MILOUD Hamdi, Kocha Mkuu wa Yanga SC amesema kuwa kuelekea kwenye mchezo wao wa Kariakoo Dabi dhidi ya Simba SC wanatambua ugumu wa mchezo huo ambao hauhitaji maneno zaidi ya utendaji kwa wachezaji kutafuta ushindi. Ni mchezo wa mzunguko wa pili msimu wa 2024/25. Katika ule mzunguko wa kwanza baada ya dakika 90 ubao ulisoma…
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kuwa limechukua hatua kali za kiusalama kuelekea mchezo mkubwa wa soka kati ya timu ya Simba na Yanga utakaochezwa Jumatano, tarehe 25 Juni 2025, katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Akitoa taarifa kwa umma leo, Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya…
Klabu ya Simba haikuhudhuria mkutano wa kabla ya mchezo (Pre-Match Conference) uliopangwa kufanyika leo Juni 24, 2025 saa 5:30 asubuhi na kuandaliwa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Kwa mujibu wa Afisa Habari wa Bodi hiyo, Karimu Boimanda, jitihada mbalimbali zilifanyika kuwasiliana na uongozi wa Simba, lakini hazikufua dafu. Mkutano huo ulikuwa sehemu ya…
Waamuzi wa mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga na Simba wametangazwa rasmi, ambapo mwamuzi wa kati atakuwa Amin Mohamed Amin Omar kutoka nchini Misri. Amin Omar ni mwamuzi mwenye uzoefu mkubwa wa kimataifa, aliyechezesha mechi kadhaa za CAF Champions League na kufahamika kwa uthabiti wake katika kusimamia michezo mikubwa.
Meridianbet inakuletea shindano la kuvutia ambapo unaweza kujishindia simu mpya ya Samsung A25 kwa kucheza mchezo wa kusisimua wa Super Heli. Kuanzia tarehe 1 Juni hadi 30 Juni, washindi wawili kila Jumatatu watajinyakulia simu mpya kwa kushiriki kwenye huu mchezo wa kasino ya mtandaoni. Super Heli si tu burudani ya kipekee, bali pia ni njia…
KWENYE mchezo wa mwisho kwa Simba SC msimu wa 2024/25 wakiwa Uwanja wa nyumbani, KMC Complex, Juni 22 2025 kitambaa cha unahodha kilitembea katika mikono ya kutosha wachezaji wakibadilishana kutokana na sababu mbalimbali. Ikumbukwe kwamba ndani ya kikosi cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids nahodha mkuu ni Mohamed Hussen Zimbwe Jr ambaye…
JUNI 25 2025 sherehe za ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara zinatarajiwa kufanyika Uwanja wa Mkapa mara baada ya mchezo wa Kariakoo Dabi, Yanga SC vs Simba SC kutamatika. Kwa mujibu wa Karim Boimanda, Ofisa Habari wa Bodi ya Ligi Tanzania, (TPLB) ameweka wazi kuwa mara baada ya mchezo huo kutamatika kutakuwa na sherehe za…
Hodi! Hodi! Hodi!, Meridianbet imepiga hodi kwako mara tatu wewe mteja wa Meridianbet kukupatia taarifa kuwa yale mashindano makubwa ya WAZDAN sasa yameanza rasmi. Zaidi ya Bilioni 1 zipo kwaajili yako ingia na ujishindie sasa, Je unajua WAZDAN ni nini?. Wazdan ni mtoa huduma maarufu wa michezo ya kasino ya mtandaoni ambaye hutoa michezo…
Leo hii nafasi ni yako ya kushinda maradufu na wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet. Beti mechi ya Settle Sounders vs PSG kwa chaguo pekee la GG&3+ na ujindishie mara kibao kwenye mechi hii ya leo ya Kombe la Dunia la Vilabu. Kombe la Dunia ngazi ya vilabu yanaendelea huko Marekani ambapo tayari timu zingine zimeshafuzu…
YANGA SC vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi, kituo kinachofuata ni Kariakoo Dabi dhidi ya Simba SC Uwanja wa Benjamin Mkapa, Juni 25 2025 kwa wababe hao kukutana kusaka pointi tatu muhimu. Mchezo uliopita kwa Yanga SC, raundi ya 30 Juni 22 2025 ubao wa Uwanja wa New Amaan…
NYOTA wa Simba SC, Steven Mukwala amefikisha jumla ya mabao 13 ndani ya ligi. Kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar Juni 22 alipachika bao moja. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba SC 1-0 Kagera Sugar. Bao hilo alipachika dakika ya 17 akiwa ndani ya 18. Mukwala alituma pasi ya David Kameta ambaye alipokea pasi…
UONGOZI wa Yanga SC umeweka wazi kuwa pointi zao mbele ya Simba SC zitawapa ubingwa msimu wa 2024/25 katika Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora. Yanga SC inaongoza ligi ikiwa na pointi 79 kibindoni baada ya kucheza mechi 29 sawa na Simba SC ambayo ipo nafasi ya pili ikiwa na pointi…
MOUSSA Camara kipa namba moja wa Simba SC ameifikia rekodi ya Aishi Manula kipa wa Simba SC katika kukusanya hati safi ndani ya uwanja kwenye mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika. Camara, Juni 22 2025 alianza kikosi cha kwanza dhidi ya Kagera Sugar na aliokoa hatari mbili zilizokuwa…