SIMBA WAMVUTA MBADALA WA LWANGA

IMEELEZWA kuwa Simba imefikia makubaliano mazuri na uongozi wa Coastal Union ya kumnunua kiungo mkabaji Mnigeria, Victor Akpan. Kiungo huyo ni kati ya viungo bora wakabaji walioonyesha kiwango bora katika msimu huu ambaye anakuja Simba kuchukua nafasi ya Thadeo Lwanga ambaye mkataba wake unatarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu huu. Mnigeria huyo ndio alikuwa kikwazo katika michezo…

Read More

MAKOCHA SIMBA NA YANGA KUIBIANA MBINU KWA MKAPA

ZIKIWA zimebaki siku 6 kabla ya watani wa jadi kukutana kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii,Agosti 13 ipo wazi kuwa makocha wote wawili wataibiana mbinu. Ni mchezo wa Yanga v Simba ambao unasubiriwa kwa shauku kubwa na timu zote zinahitaji ushindi kwa kuwa hakuna sare katika mchezo huo. Nasreddine Nabi,Kocha Mkuu wa Yanga atakuwa wa…

Read More

USHAURI WA JEMBE KWA HAJI MANARA HUU HAPA

MCHAMBUZI wa soka nchini Saleh Ally ‘Jembe’ amesema Haji Manara anapaswa kujiweka mbali na marafiki wanafiki ambao wanamjaza upepo (Kumdanganya) kwamba hana makosa kutokana na hukumu aliyoipata ya kufungiwa miaka miwili kutojihusisha na soka pamoja na faini ya shilingi milioni 20. Akifanya mahojiano maalum na Mwandishi wa Habari wa Global TV, Jembe amenukuliwa akisema:“Mimi natakuwa…

Read More

YANGA WAIVUTIA KASI SINGIDA BIG STARS

MENEJA wa Yanga, Walter Harrison ameweka wazi kuwa wachezaji wapo tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Big Stars. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Liti, Mei 4,2023 ikiwa ni mzunguko wa pili. Katika mzunguko wa kwanza ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Yanga 4-1 Singida Big Stars. Kikosi hicho chini ya…

Read More

PAN AFICAN KAZINI KWA MARA NYINGINE TENA

KIVUMBI cha Championship kinatarajiwa kuendelea kwa wakongwe kazini Pan African watakapowakaribisha FGA Talents. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Uhuru, Oktoba 28 kwenye msako wa pointi tatu muhimu. Nyasi za Uwanja wa Uhuru zitakuwa kwenye kazi saa 10:00 jioni kwa wanaume hao 22 uwanjani kusaka ushindi kwa jasho. Mchezo wao uliopita ilikuwa ni Oktoba 21…

Read More

NAPOLI WAICHAPA LIVERPOOL 4G

USIKU wa Ligi ya Mabingwa Ulaya umewapa furaha Napoli wakiwa Uwanja wa Diego Armando Maradona kwa ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Liverpool.  Ni mchezo wa kwanza kwa  Kundi A ambapo Liverpool hawajaamini ambacho wamekiona licha ya kupewa nafasi kubwa ya kuweza kupata ushindi kwenye mchezo huo. Mabao ya Napoli inayoongoza kundi ikiwa na pointi…

Read More