WASHINDI WA MKWANJA WA JACKPOT WAVUNA MINOTI

WASHINDI wa Jackpot bonus ya Kampuni ya SportPesa wamezidi kujazwa minoti baada ya kupata ushindi katika ubashiri wao waliofanya. Hawa ni Washindi wa Jackpot bonus kutoka kushoto Mohammed O. Mohammed, Deo Nehemia Msemwa na Yona Teremia Nyasomba wakishikilia mfano wa hundi ya shilingi 5,003,220 ambapo kila mmoja ataondoka na kiasi hicho mara baada ya kubashiri kwa…

Read More

MSHAMBULIAJI MANZOKI MIKONONI MWA MABOSI YANGA

INAELEZWA mabosi wa Yanga wanamfuatilia kwa karibu mshambuliaji hatari wa Vipers ya Uganda, Cesar Manzoki, kwa lengo la kuongeza nguvu katika eneo la ushambuliaji kwa ajili ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao. Mshambuliaji huyo mwenye asili ya DR Congo lakini kwa sasa ana uraia wa Afrika ya Kati, amekuwa gumzo katika Ligi…

Read More

SIMBA YAYEYUSHA DAKIKA 450 BILA USHINDI

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa, Simba wameandika rekodi yao kwenye anga hilo kwa kukomba dakika 450 sawa na mechi tano bila kuambulia ushindi. Kwenye mechi hizo, mbili ilikuwa ni African Football League, (AFL) na tatu Ligi ya Mabingwa Afrika. Katika mechi tano, tatu wamecheza nyumbani na mbili ugenini. Katika mechi za AFL, ilikuwa…

Read More

MASTAA HAWA 6 WA YANGA KUIKOSA KAGERA SUGAR

DICKOSN Ambundo,beki wa Yanga ni miongoni mwa nyota ambao wataukosa mchezo wa leo Februari 27 dhidi ya Kagera Sugar. Job ambaye ni beki wa kati anaukosa mchezo wa leo kutokana na kuwa kwenye mwendelezo wa kutumikia adhabu ya kifungo cha mechi tatu ambacho alipata kutokana na kucheza mchezo usio wa kiungwana mbele ya Richardson Ng’odya…

Read More

CHUMA HIKI HAPA KINAFUATA KUTAMBULISHWA YANGA

INAELEZWA kuwa nyota anayefuatwa kutambulishwa ndani ya kikosi cha Yanga ni beki wa kazi mzawa Dickosn Job. Nyota huyo mkataba wake unakaribia kufika ukingoni ambapo mwisho wa msimu huu utakuwa umegota mwisho. Habari zinaeleza kuwa tayari viongozi wa Yanga pamoja na wale ambao wanamsimamia Job wamefanya mazungumzo na kufika kwenye maelewano mazuri. Job ni chaguo…

Read More

SIMBA YAPITA NA MABAO 13 SHWAA

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa katika Kombe la Shirikisho Afrika, Simba wamepita shwaa na mabao 13 mazima kwa msimu wa 2023/24 baada ya kuwapa mkono wa Thank You. Timu hiyo imegotea nafasi ya tatu inaungana na Coastal Union ya Tanga kwenye Kombe la Shirikisho Afrika huku Yanga na Azam FC hizi zikiwa na…

Read More

HT: Pamba Jiji FC 1-1 Simba SC

 HT: Pamba Jiji FC 1-1 Simba SC, NBC Premier League, Uwanja wa CCM Kirumba, Machi 19,2026.  Simba SC walianza kufunga dakika ya 33 ni Anicent Oura alifungua ukurasa na goli hilo lilidumu kwa dakika 3 kabla wenyeji kujaza mpira kimiani. James Mwashinga alifunga goli la usawa dakika ya 36 ya mchezo na kuwanyanyua mashabiki wa…

Read More

Chico Ushindi Afariki, Soka la Afrika Lapata Pengo

Mshambuliaji wa zamani wa klabu za TP Mazembe, AS Vita Club na Yanga SC, Chico Ushindi Wakubanza, amefariki dunia leo mchana akiwa nyumbani kwao Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Chico Wakubanza alikuwa mmoja wa washambuliaji waliopata heshima kubwa katika soka la Afrika ya Kati na Mashariki, akitambulika kwa uwezo wake wa kufumania nyavu, nguvu…

Read More

YANGA: SIMBA WAKIJICHANGANYA KUKUTANA NACHO

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa watani zao wa jadi Simba wakijichanganya watawatuliza kimya kwa kuwa hesabu zao ni kupata matokeo kwenye mechi zote na sio dhidi ya Simba pekee. Yanga watawakaribisha Simba kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Aprili 20 2024 wao wakiwa ni wenyeji wa mchezo huo. Ipo wazi…

Read More

AZAM FC WAMEKWAMA KWA MARA NYINGINE TENA

KLABU bora Bongo Azam FC kwa mara nyingine tena wamekwama kufurukuta mbele ya  Singida Fountain Gate  katika Kombe la Mapinduzi kwa kuwa ni mara ya pili kufungashiwa virago na timu hiyo. Ikumbukwe kwamba Januari 8 2023 ubao wa Uwanja wa Amaan ulisoma Azam FC 1-4 Singida Fountain Gate katika hatua ya robo fainali zama hizo…

Read More