VIDEO:MAZOEZI YA TUISILA KISINDA MZEE WA SPIDI
NYOTA wa Yanga Tuisila Kisinda ameanza mazoezi ndani ya kikosi cha Yanga akiwa na mchezaji Yacouba Songne tayari kwa msimu wa 2022/23
NYOTA wa Yanga Tuisila Kisinda ameanza mazoezi ndani ya kikosi cha Yanga akiwa na mchezaji Yacouba Songne tayari kwa msimu wa 2022/23
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Mayele amesema yeye na wachezaji wenzake hawana presha kuhusu mchezo wa raundi ya pili ya mtoano dhidi ya Al Hilal ya Sudan Kaskazini. Mayele ametoa kauli hiyo kwa kujiamini akisema ni halali yao kuingia makundi katika michuano ya Kombe la Mabingwa Afrika kwani wana wachezaji wazuri na wanajiamini, hivyo hawana presha…
KIWA ni saa chache baada ya droo ya kupanga michezo ya hatua ya 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya kufanyika, hatimaye droo hiyo imefutwa na kutangazwa kurudiwa. Hii inakuja baada ya kutokea kwa tatizo la mfumo unaochezesha droo hiyo na baadhi ya vilabu kulalamikia tatizo hilo. Awali tatizo lilianza kuonekana pale ambapo Klabu…
UWANJA wa Selhurst mchezo umekamilika kwa Crystal Palace 0-0 Leeds na kuwafanya waweze kugawana pointi mojamoja kwenye mchezo wa Ligi Kuu England. Ulikuwa ni mchezo wa kujilnda kwa timu zote mbili na hawakuweza kutengeneza nafasi nyingi kwenye mchezo huo ambao ulikuwa ni mgumu kwa kila timu. Leeds wamekosa pointi tatu ambazo zingewaongozea nguvu ya kujinasua…
Hong Kong – Klabu ya Arsenal imejikuta ikianza maandalizi ya msimu mpya kwa kupokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa wapinzani wao wa jadi, Tottenham Hotspur, katika mchezo wa kirafiki uliopigwa usiku wa kuamkia leo jijini Hong Kong. Pape Matar Sarr, kiungo mahiri kutoka Senegal, ndiye aliyeibeba Spurs baada ya kufunga bao pekee la mchezo…
TIMU ya taifa DR Congo imelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Morocco katika mchezo wa Kombe la Mataifa Afrika, Januari 21. DR Congo ina wachezaji wawili wanaoitambua Ligi Kuu Bara ikiwa ni pamoja na Fiston Mayele aliyewahi kucheza Yanga na Henock Inonga anayekipiga Simba. Morroco walipachika bao kupitia kwa Achraf Hakim mapema kabisa…
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salim Abdallah Muhene ‘Try Again’, amesema kuwa Yanga ni watoto wadogo kwa Simba na timu yao ipo tayari kuchukua alama tatu, Desemba 11. Try Again alisema wao wanauchukulia mchezo wao na Yanga kama michezo mingine wanayocheza kwenye ligi na kwamba suala la kupata ushindi kwenye mchezo huo ni…
WAKIWA kwenye maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara Desemba 23 Uwanja wa Azam Complex wababe kutoka Dar wamepigana mikwara. Ni KMC watawakaribisha Simba kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa timu zote mbili. Abdihamid Moallin Kocha Mkuu wa KMC amesema kuwa wanatambua ugumu uliopo lakini wanapaswa kuamini kwamba watapata…
Baada ya shamrashamra za Halloween kupita, ulimwengu wa burudani za kidijitali unaendelea kuangaza kwa ladha mpya kupitia Trick or Treat Bonanza kutoka Meridianbet. Ni tukio linalochukua hisia za msimu uliopita na kuzibadilisha kuwa uzoefu wa kipekee wa michezo ya mtandaoni, likilenga ubunifu, mvuto wa mandhari na msisimko wa hali ya juu. Wachezaji wanaingizwa kwenye mazingira…
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba leo wepata ushindi mbele ya Tanzania Prisons baada ya mechi tatu za ugenini kushindwa kupata matokeo. Bao la ushindi limepachikwa na Meddie Kagere baada ya mwamuzi wa kati kuamua ipigwe penalti ambayo ilikuwa ikionekana kupingwa na wachezaji wa Prisons. Jumla Simba inakuwa imefunga mabao 15 katika mechi 14…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa mpango mkubwa ni kufanya vizuri kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Machi 30 2024. Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuhusu kuelekea kwenye mchezo huo.
ANGALAU timu ya taifa ya Cameroon imepata matumaini ya kutinga hatua ya 16 bora Kombe la Dunia Qatar lakini itakutana na kigogo kizito Ijumaa dhidi ya Brazil. Sare ya kufungana mabao 3-3 dhidi ya Serbia inawapa nguvu ya kupambana mchezo ujao licha ya kwamba walikuwa na nafasi ya kushinda mchezo wa leo. Ni Jean-Charles Castelletto…
MASTAA sita wamekutanana mkono wa asante ndani ya kikosi cha Singida Fountain Gate inayotumia Uwanja wa Liti kwa mechi zake za nyumbani. Timu hiyo ilishiriki Mapinduzi 2024 na ikagotea hatua ya nusu fainali ilipofungashiwa virago na Simba kwa mikwaju ya penalti 3-2 baada ya dakika 90 kutoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1. Miongoni mwa nyota…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Alhamisi
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa.
Hivi sasa farao wa ushindi amesimama upande wako na kuamua kuweka nguvu Meridianbet. Lengo ni moja tu, kukufanya uwe tajiri bila kuwa na safari yoyote. Books of Egypt sasa inakukaribisha moja kwa moja kwenye enzi za Misri ya kale, ambapo kila hatua unayochukua mchezoni inaweza kugeuza maisha yako. Huu mchezo ni safari ya mikakati na…
Mlinda mlango wa klabu ya Young Africans SC, Djigui Diarra, amefungiwa kucheza mechi tatu pamoja na kutozwa faini ya shilingi milioni mbili (Tsh. 2,000,000) kutokana na makosa ya nidhamu yaliyotokea katika mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar FC. Kwa mujibu wa taarifa za adhabu hiyo, Diarra ameadhibiwa baada ya kumshambulia mwamuzi wakati wa mchezo huo, tukio…