
SIMBA YAMTAMBULISHA NABY CAMARA KWA MKATABA WA MIAKA MIWILI
Klabu ya Simba SC imethibitisha kumsajili kiungo kiraka raia wa Guinea, Naby Camara, kama mchezaji huru kwa mkataba wa miaka miwili, utakaomuweka klabuni hapo hadi mwaka 2027. Camara mwenye umri wa miaka 23 ana uwezo wa kucheza nafasi ya kiungo wa kati na beki wa kushoto. Anasajiliwa ili kuongeza nguvu kwenye upande wa kushoto wa…