WIKENDI ZA MKWANJA NI HII YA LEO

Utamu wa kubashiri ni kula pesa na hii yote utaikuta kwa wababe wa ubashiri Tanzania pekee meridianbet ambapo hapa unapata ODDS KUBWA na za kibabe sana. Timu nyingi zipo uwanjani leo weka mkeka wako uamke na pesa asubuhi kesho. LIGUE 1 kule Ufaransa kurindima leo ambapo Lyon atakuwa ugenini kusaka pointi tatu dhidi ya Metz…

Read More

MANCHESTER UNITED YAOMBWA MECHI KUPELEKWA MBELE

KLABU ya Manchester United imeomba Ligi Kuu ya Uingereza kuahirisha mchezo wa leo dhidi ya Brentford baada ya kulazimika kusitisha mazoezi ya kikosi chake cha kwanza Desemba 13 kotokana na Corona. Kitabu cha mwongozo cha Ligi Kuu ya 2021/22 kinajumuisha itifaki za UVIKO-19, na kinaruhusu bodi ya Ligi Kuu kupanga upya au kuahirisha mechi ya…

Read More

DUBE APELEKA MAUMIVU IHEFU

 MGUU uleule uliowapa tabu Simba, Uwanja wa Mkapa ndani ya 18 umegeuza kibao kwa mara nyingine mbele ya Ihefu. Mtupiaji yuleyule aliyempa tabu Air Manula sasa tabu iligeukia upande wa Ihefu kwa kipa Fikirini. Kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara jana dhidi ya Ihefu, nyota Dube alifunga bao kwa mguu wake wa kulia likiwa ni…

Read More

UWANJA WA SINGIDA NI LITI,KAMBI ARUSHA

SINGIDA Big Stars kwa msimu wa 2022/23 imeweka kambi yake Arusha ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya unaotarajiwa kuanza Agosti. Timu hiyo kwa sasa inaendelea kufanya maboresho kwa kuwatambulisha wachezaji wapya ambao imewapa madili mapya. Ikumbukwe kwamba awali ilikuwa inaitwa DTB wakati huo ilipokuwa inashiriki Championship na kwa sasa imebadili jina na inaitwa Singida Big…

Read More

YANGA YATUMA UJUMBE HUU KWA NAMUNGO

 MCHORA ramani wa Yanga ameweka wazi kuwa wanakabiliwa na mchezo mgumu kesho na watapambana kupata pointi tatu muhimu unatarajiwa kuchezwa saa 12:30 jioni. Sead Ramovic amebainisha kuwa maandalizi yapo vizuri na wapo tayari kwa ajili ya mchezo huo ambao utakuwa na ushindani mkubwa na malengo ni kuona wanapata pointi tatu muhimu. “Tuna mchezo mgumu mbele…

Read More

DUBE KAFUNGA KIBABE BONGO

WAKATI msimu wa 2022/23 ukifungwa mwamba Prince Dube kafunga kwa rekodi ya kusepa na mpira wake wa kwanza msimu huu kwenye ligi. Dube ambaye anatarajiwa kuwa miongoni mwa nyota watakaocheza fainali ya Azam Sports Federation dhidi ya Yanga alifunga mabao manne peke yake. Juni 12 Azam FC inatarajiwa kumenyana na Yanga kwenye fainali Uwanja wa…

Read More

YANGA YAFUTA MATOKEO YA KIMATAIFA, KAZI AZAM COMPLEX

BENCHI la ufundi la Yanga limeweka wazi kuwa ushindi wa mabao 0-2 waliopata dhidi ya Al Merrikh, Waarabu wa Sudan wameyafuta yote na akili zao ni kupata ushindi kàtika mchezo wa leo. Chini ya Miguel Gamondi kikosi cha Yanga kinatarajiwa kutupa kete yake ya pili kàtika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika unaotarajiwa kuchezwa leo…

Read More

NAMNA SIMBA WALIYVOANZA KUONANA KIMATAIFA/ BADO MMENUNA

KWENYE anga la kimataifa Simba wamepata ushindi wa kwanza msimu wa 2023/24 dhidi ya Wydad Casablanca kwa mabao ya kiungo mshambuliaji Willy Onana ambaye alipachika mabao yote mawili. Katika mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Onana alitumia pasi kutoka kwa kiungo mshambuliaji Kibu Dennis. Simba inafikisha pointi tano ikiwa nafasi ya pili kwenye msimamo ikitoka…

Read More

MITAMBO YA PENALTI SIMBA HII HAPA

 SIMBA imekamilisha mzunguko wa pili msimu wa 2022/23 huku safu yake ya ushambuliaji ikiwa imetupia mabao 31. Kweye mabao hayo ni mawili yamefungwa kutokana na penalti ilikuwa dhidi ya Geita Gold ambapo mtupiaji alikuwa ni Clatous Chama. Aliyesababisha penalti hiyo ni Augustino Okra kisha penalti ya pili ilikuwa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga walipocheza na Coastal…

Read More

JEMBE AZUNGUMZIA MKATABA WA JOBE NA MANGUNGU KUSAJILI

LEGEND kwenye masuala ya uandishi wa Habari Bongo, Saleh Jembe ameweka wazi kuwa ikiwa Mangungu ataachiwa suala la usajili inaweza kuwa ni mzigo mzito zaidi kwake akibainisha kwamba kwa sasa Simba wanahitaji marekebisho ya timu yao na wapunguze maneno mengi zaidi wafanye kazi kwa ushirikiano zaidi. Ameweka wazi kuwa kati ya timu ambayo imeongoza kwa…

Read More