
BEKI SIMBA AFICHUA SIRI HII HAPA
MOHAMED Hussen Zimbwe Jr, beki wa kazi ndani ya kikosi cha Simba amefichua siri nzito ambayo inampa nguvu ya kudumu kwenye ubora wake uleule muda wote akiwa uwanjani katika mechi za ushindani. Ipo wazi kuwa wamepita makocha wengi ndani ya kikosi cha Simba hivi karibuni ikiwa ni Patrick Aussems ambaye kwa sasa anakinoa kikosi cha…