
YANGA WANATAMBUA WANAKUTANA NA TIMU YA NAMNA GANI
WACHEZAJI wa Yanga wamebainisha kwamba wanatambua wanakutana na timu ya namna gani uwanjani hivyo watapambana kufanya vizuri ili kupata matokeo mazuri ndani ya uwanja kwenye mchezo huo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex. Yanga ni namba mbili kwenye msimamo wa ligi ikiwa na pointi 24 baada ya kucheza mechi 9 huku…