ZIMBWE JR KUSEPA SIMBA, ISHU IPO HIVI

MOHAMED Hussen Zimbwe Jr nahodha wa Simba chaguo la kwanza la Kocha Mkuu Fadlu Davids ngoma bado ni nzito kwake kwenye ishu ya kuongeza mkataba mpya na amebainisha kuwa ikitokea ofa anaweza kuondoka kwenda nje kupata changamoto mpya. Inatajwa kuwa kwa sasa mabosi wa timu hiyo hesabu kubwa ni kwenye mechi zilizopo mbele yao ikiwa…

Read More

KILA IDARA MABADILIKO NI MUHIMU

KILA mchezaji anapenda kupata matokeo mazuri kwa ajili ya timu yake ipo hivyo. Sio Yanga, Singida Fountain Gate mpaka Kagera Sugar. Hata Namungo pia wanafanya maandalizi kwa ajili ya kuona wanapata kile kilicho bora uwanjani. Kila shabiki anapenda kuona timu yake inapata matokeo mazuri baada ya dakika 90. Kwa namna yoyote kinachotakiwa kwa wakati huu…

Read More

SIMBA KAMILI KUIKABILI NAMUNGO

JUMA Mgunda, kocha msaidizi wa Simba amesema maandalizi yote kwa ajili ya mchezo mgumu dhidi ya Namungo yamekamilika. Simba inatarajiwa kumenyana na Namungo kwenye mchezo wa mzunguko wa pili Uwanja wa Majaliwa saa 1:00 usiku. Ikumbukwe kwamba mchezo uliopita kwa Namungo walipata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mbeya City na kwa upande wa Simba…

Read More

RATIBA YA MECHI ZA LEO LIGI KUU BARA

ILE burudani ambayo ilikuwa imekosekana kwa muda sasa inarejea kwa kasi ambapo ni leo Agosti 15,viwanja viwili vitakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu. Ihefu FC ya Mbeya itawakaribisha Ruvu Shooting huku Namungo FC wao watamenyana na Mtibwa Sugar ya Morogoro.  Ihefu inayonolewa na Kocha Mkuu, Zuber Katwila imerejea kwenye ligi kwa mara nyingine baada…

Read More

RASMI KOCHA COASTAL UNION ABWAGA MANYANGA

RASMI uongozi wa Coastal Union umetangaza kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba na Yusuf Chipo ambaye alikuwa ni kocha mkuu wa timu hiyo. Taarifa rasmi iliyotolewa na Coastal Union leo Desemba 20,2022 imeeleza kuwa Desemba 19, 2022 walifikia makubaliano ya kusitisha mkataba huo kwa makubaliano ya pande zote mbili. Kwa sasa timu hiyo ambayo ina mchezo…

Read More

NTIBANZOKIZA KWENYE REKODI YAKE BONGO

MSIMU wa 2022/23 Saido Ntibanzokiza alipachika mabao 17 ndani ya Ligi Kuu Bara ikiwa ni rekodi yake bora. Alitwaa tuzo ya kiungo bora msimu wa 2022/23, mfungaji bora licha ya kuwa ni kiungo mshambuliaji na jina lake lilijumuishwa kwenye kikosi bora cha msimu. Mshambuliaji Fiston Mayele wa Yanga naye alitupia mabao 17 na alitwaa tuzo…

Read More

MAYELE APEWA ZAWADI YA NG’OMBE

MMOJA wa mashabiki wa Yanga, mwenye asili ya Kimasai anayefahamika kwa jina la Mauya mkazi wa Dakawa, amemzawadia ng’ombe mzima mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele. Mayele ni mtupiaji namba moja ndani ya Yanga akiwa na mabao 7 na kinara ni Relliats Lusajo ambaye ametupia kibindoni mabao 10. Ushindi wa mabao 2-0 waliopata jana mbele ya…

Read More

NYOTA MAN UNITED AIBUKIA SEVILLA

KLABU ya Sevilla ya Hispania imefikia makubaliano ya kumsajili kwa mkopo winga wa Manchester United na timu ya taifa ya Ufaransa Antony Martial. Nyota huyo amekosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza cha United na amekuwa akishinikiza kuondoka ndani ya miamba hiyo. Sevilla wamekubali kulipa mshahara wote wa mchezaji huyo hadi mwezi Juni na atasafiri leo…

Read More

KUMBE YANGA WALIPANIA KITAMBO KWELI

YANGA jana Jumapili waliweza kulisimamisha Jiji la Dar wakiwa wanalitembeza kombe lao la Ligi Kuu Bara walilolitwaa msimu huu wa 2021/22.  Ubingwa huo ni wa 28 kwa Yanga ambapo jana Jumamosi walikabidhiwa kombe lao baada ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City uliochezwa Uwanja wa Sokoine, Mbeya.  Msemaji wa Yanga, Haji Manara,…

Read More

KOCHA GEITA GOLD ATEMBEZA BONGE LA MKWARA

BAADA ya kupata ushindi wa kwanza kwenye ligi kuu kocha wa Geita Gold FC Fred Felix Minziro amefunguka kuwa kwa sasa timu hiyo itaendeleza kupata ushindi kwenye michezo inayokuja mbeleni. Minziro alisema aliichukua timu ikiwa kwenye wakati mgumu ikipata michezo migumu wakiwa ugenini ambayo yote walipoteza wakiwa viwanja vya Dar na waliporudi nyumbani wakapata alama…

Read More

KMC WAGAWANA POINTI MOJAMOJA NA NAMUNGO,ILULU

WAKIWA Uwanja wa Ilulu, leo Oktoba 23 Wanakinoboys wamegawana pointi mojamoja na Namungo FC kwa kufungana bao 1-1. Kwa upande wa KMC ni mshambuliaji wao Charles Ilanfya alipachika msumari wa kwanza ilikuwa dakika ya 30 na lilidumu kwa muda wa dakika 12 kwa kuwa dakika ya 43 Shiza Kichuya alipachika bao kwa mkwaju wa penalti….

Read More