DE JONG ATAJWA MANCHESTER UNITED

KOCHA mpya wa Manchester United, Erick ten Hag anatajwa kuwa kwenye hesabu za kumsajili Frenkie de Jong kwa ajili ya kuwa naye kwenye kikosi msimu ujao. Kocha huyo anamuamini kiungo huyo Mholanzi akiamini kwamba atakuwa bora kwenye mfumo wake akimpeleka pale Old Trafford. Ten Hag hataki klabu hiyo imwage fedha kwa wachezaji ambao hawapi kipaumbele…

Read More

HUYU HAPA ANATAJWA KUWA KOCHA MPYA SIMBA

INAELEZWA kuwa mabosi wa Simba wapo kwenye mazungumzo na Stuart Baxter aliyekuwa Kocha Mkuu wa Kaizer Chiefs  Kabla ya kufungashiwa virago vyake huko ili aweze kubeba mikoba ya Pablo Franco. Kwa sasa Simba ipo kwenye mchakato wa kusaka kocha mpya ambapo CV zinatajwa kuwa zaidi ya 100 mezani kwa mabosi hao ambao wapo kwenye hatua za mwisho…

Read More

CANDY’S BONANZA INAMWAGA MKWANJA

Kampuni ya Meridianbet wakishirikiana na Expanse watengenezaji wa michezo ya kasino wameongeza wigo au nafasi ya wapenzi wa michezo ya kasino kupiga mkwanja, Kwani wamekujia na Sloti mpya inayofahamika kama Candy’s Bonanza. Candy’s Bonanza ni mchezo mpya wa kasino ambao utakuepeleka kwenye ulimwengu wa kipekee kabisa tofauti na michezo mingine ya Sloti ambayo umekua ukicheza…

Read More

SIMBA WAIVUTIA KASI RED ARROWS

KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco kimeendelea na mazoezi kwa ajili ya kuivutia kasi Red Arrows katika mchezo wao wa kimataifa. Ni Novemba 28 mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa ambapo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa timu zote kusaka ushindi ndani ya dakika 90. Simba imeangukia hatua ya Kombe la…

Read More

AZAM FC YAACHANA NA BEKI WAO WA KAZI

LEO Julai 7,2022 ikiwa ni siku ya sabasaba,matajiri wa Dar wameweka wazi kuwa wanaachana na mchezaji wao Yvan Mbala ambaye ni beki. Anakuwa ni nyota wa tatu kupewa mkono wa asante baada ya Mathias Kigonya ambaye na kipa pamoja na Frank Domayo ambao wote hawatakuwa kwenye kikosi cha Azam FC msimu wa 2022/23. Kupitia ukurasa…

Read More

MAN UNITED KUITIBULIA ARSENAL KWA RAPHINHA

UWEZO mkubwa aliouonyesha staa wa Leeds United, Raphinha kwa kuisaidia timu hiyo kusalia ndani ya Ligi Kuu England imezivutia klabu za Tottenham, Liverpool na Manchester United ambao sasa wameingia katika mbio hizo dhidi ya Arsenal ambayo tayari imetenga dau la pauni milioni 50. Mbrazil huyo alikuwa kinara wa mabao ndani ya kikosi cha Leeds msimu…

Read More

AZAM FC KUKIPIGA NA COASTAL, KIINGILIO JEZI

NOVEMBA 27,2022 Azam FC itakuwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Coastal Union. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex saa 1:00 usiku. Katika mchezo huo kiingilio ni uzi wa Azam FC kwa yule ambaye hana jezi hiyo akifika uwanjani watafanya mazungumzo kujua shughuli inakwendaje. Azam FC imekuwa kwenye mwendo mzuri msimu huu…

Read More

KASINO YA MERIDIANBET INAKUPATIA FURSA YA KUTENGENEZA PESA KUPITIA JAKIPOTI YA KISASA!

Kwa muda mrefu, Kasino ya Meridianbet imekuwa ni sehemu moja yenye neno moja la kipekee – Jakipoti za Kasino! Hii hainakikomo, wameendelea kufanya hivyo hadi mwaka 2022. Sikia hii, mteja mmoja wa Kasino ya Meridianbet amejishindia €15,616 baada ya kushinda jakipoti kwenye Sloti ya Secrets of Alchemy. Mwanzo mzuri kwa mwezi Februari! Hii ni maana…

Read More

MAPILATO WA YANGA V SIMBA,PENALTI,KADI KAMA ZOTE

MAPILATO wa mchezo wa leo wa Yanga v Simba unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa unaambiwa weka mbali na watoto kutokana na rekodi zao kuwa ni za moto kila wanapochezesha mechi. Waamuzi ambao wapo kwenye orodha iliyotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania ambao ni Ellyi Sasii, Mohamed Mkono, Frank Komba na Ramadhan Kayoko ambaye atakuwa mwamuzi…

Read More