>

TABORA UNITED YAFANIKIWA KUSALIA LIGI KUU BAADA YA USHINDI DHIDI YA BIASHARA UNITED

Klabu ya Tabora United imefanikiwa kusalia Ligi Kuu bara baada ya ushindi wa jumla wa 2-1 dhidi ya BIASHARA United kwenye michezo miwili ya mchujo ‘playoffs’ wa kuepuka kushuka daraja.

FT: Tabora United 2-0 Biashara United (Agg. 2-1)
⚽ Patrick Lembo (P) 27’ 55’

Biashara United iliibuka na ushindi wa 1-0 kwenye ‘playoff’ ya kwanza kabla ya kupoteza 2-0 kwenye marudiano na kushindwa kupanda daraja.