IHEFU WAIVUNJA REKODI YA YANGA KWENYE LIGI

 WAKULIMA kutoka Mbeya, Ihefu FC wamevunja mwiko wa Yanga kuendelea kucheza mechi za ligi bila kufungwa baada ya kupata ushindi wa mabao 2-1. Wakiwa Uwanja wa Highland Estate, Ihefu walianza kutunguliwa bao kipindi cha kwanza kupitia kwa kiraka Yanick Bangala dakika ya 8. Ni Nivere Tigere aliweka usawa dakika ya 38 na kuwafanya waende mapumziko…

Read More

HAWA HAPA MABINGWA WA AFL

Mabingwa wa African Football League ñi Mamelod Sundown ya Afrika Kusini mbele ya Wydad Casablanca. Katika fainali ya leo ubao umesoma Mamelod 2-0 Wydad na kuwafanya watwae ubingwa kwa jumla ya mabao 3-1. Bao la Peter Shalulile dakika ya 45 liliwaongezea nguvu vijana hao ambao walipachika bao ka pili dakika ya 53 kupitia kwa Modiba….

Read More

NABI HUYO MPANGO WAKE HUU HAPA

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa anahitaji kushinda kwenye mechi zake zote ikiwa ni pamoja na dabi mbili mbele ya Azam FC na Simba. Aprili 6, Yanga itamenyana na Azam FC Uwanja wa Azam Complex kisha itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Simba Aprili 30. Akizungumza na Spoti Xtra,Nabi…

Read More

KOCHA TAIFA STARS ABEBA MATUMAINI KIMATAIFA

HONOUR Janza, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa wtacheza kwa kujiamini kwenye mechi za kirafiki za kimataifa zilizo kwenye Kalenda ya FIFA ili kupata matokeo. Stars inatarajiwa kucheza mechi mbili za kirafiki dhidi ya Uganda na Libya ambazo zitachezwa nchini Libya na kikosi hicho kilikwea pipa jana, Septemba 20…

Read More

DILUNGA AFICHUA KUHUSU SIMBA

KIUNGO Hassan Dilunga ambaye kwa sasa anajiuguza majeraha yake, amesema kuwa amekuwa akiwaambia wachezaji wa timu hiyo kupambana kuwapa furaha mashabiki.  Nyota huyo ambaye alijiunga na Simba akitokea Mtibwa Sugar kwa sasa kandarasi yake imemeguka na hajaongezewa mkataba mwingine akiwa ni huru. Ikumbukwe kwamba Dilunga hakutambulishwa siku ya Simba Day ambayo ilitumika kuwatambulisha wachezaji wapya…

Read More

KIKOSI CHA ‘STARS’ KINACHOANZA DHIDI YA GUINEA

Kikosi cha ‘Stars’ kinachoanza dhidi ya Guinea kwenye mchezo wa mwisho wa Kundi H wa kuwania kufuzu kombe la Mataifa Afrika AFCON 2025 katika dimba la Benjamin Mkapa. Kocha Hemed Suleiman ‘Morocco’ amefanya badiliko moja kutoka kikosi kilichowanyoa Ethiopia huku kiungo Adolf Mtasingwa Bitegeko akichukua nafasi ya Novatus Dismans Miroshi ambaye anakosekana kwenye mchezo huo…

Read More

MAYELE HATARI YAKE NI KILA BAADA YA DAKIKA 399

  MSHAMBULIAJI Fiston Mayele raia wa DR Congo mali ya Yanga ambao ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 16 baada ya kucheza mechi sita na kufunga jumla ya mabao 10 amehusika kwenye mabao matatu . Nyota huyo ambaye ni chaguo la kwanza kwa Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi amefunga mabao mawili na kutoa pasi moja…

Read More

STARS KUKWEA PIPA BAADA YA MECHI

TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kesho Novemba 11 ikimaliza kazi mbele ya DR Congo, itaelekea Madagascar kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo utakaopigwa Novemba 14, 2021 kusaka tiketi ya kufuzu kombe la Dunia Qatar 2022, ambapo Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania imetoa ndege kuelekea mechi hiyo.   Katibu Mkuu…

Read More

MWAMBA HUYU KUCHUKUA MIKOBA YA SAKHO SIMBA

 JEAN Morel Poé,anatajwa kuwa kwenye hesabu za mabosi wa Klabu ya Simba wakiangalia uwezekano wa kumsajili endapo tu Pape Ousmanne Sakho atauzwa kwenda Wydad Casablanca ya Morocco inayomuhitaji baada ya kumuwekea ofa ya shilingi bilioni 1.6.  Sakho ambaye baada ya kushinda Tuzo ya Bao Bora la Mwaka CAF vigogo kibao wameanza kumnyemelea, Simba hawakutaka kuchelewesha,…

Read More

KUMUONA AZIZ KI,MORRISON,OKWA BUKU TANO

KUELEKEA kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga na Simba unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa viingilio vimewekwa wazi leo Agosti 10,2022. Mastaa ambao wanatarajia kuweza kucheza mchezo huo ni pamoja na Aziz KI,Bernard Morrison kutoka Yanga,Nelson Okwa, Victor Ackpan wa Simba. Ni 5,000 kwa mzunguko kwenye viti vya kijani na bluu,kwa upande wa…

Read More