
KWA KUITUNGUA UNITED,DAKA APEWA TANO NA RAIS
HAKAINDE Hichilema, rais wa Zambia amempongeza kijana wake anayekipiga ndani ya Leicester City, Patson Daka kwa kuwatungua Manchester United kwenye ushindi wa mabao 4-2 katika mchezo wa Ligi Kuu England. Hichilema ameweka wazi kuwa kazi ambayo imefanywa na Mzambia huyo ni nzuri na wanajivunia kuwa na kijana ambaye anatimiza majukumu yake kwa umakini jambo…