SIMULIZI YA JAMAA ALIYEPOTEZA NG’OMBE WAWILI

SIMULIZI ya aliyeibiwa Ng’ombe wawili kisha akawapata ipo namna hii:- Ama kwa hakika kila mtu anapaswa kuheshimu mali ya mwenzake kwa vyovyote vile kwani ndio undugu unaohitajika. Kwa jina ni Simon kutoka kaunti ya Vihiga. Nilikuwa mfanyibishara haswa wa kilimo. Nilikuwa na Ng’ombe wawili wa maziwa ambao nilikuwa Napata faida nyingi kutokana na uuzaji wa…

Read More

FRED V GUEDE BADO WANAJITAFUTA HUKO

KAZI imeanza ndani ya Ligi Kuu Bara kwa kila mchezaji kupambania kuonyesha uwezo wake uwanjani huku kukiwa na vita kubwa kwenye upande wa washambuliaji kuonyesha uwezo wao. Baada ya mechi za hivi karibuni mastaa wa Simba na Yanga kila mmoja alikuwa na kazi ya kufanya ni Michael Fred wa Simba na Joseph Guede mwamba wa…

Read More

KOCHA KAIZER CHIEFS AMALIZANA NA SIMBA

BAADA ya kufanya mazungumzo mazito na mabosi wa Simba SC, inaelezwa kwamba kocha wa zamani wa Kaizer Chiefs, Stuart Baxter, wamefikia makubaliano mazuri, lakini ameomba kwanza kurejea kwao Uingereza. Kocha huyo wa zamani wa timu ya taifa ya Afrika Kusini na England U19, juzi alifanya mazungumzo na mabosi wa Simba kwa ajili ya kukamilisha dili…

Read More

SINGIDA BLACK STARS KULETA USHINDANI KITAIFA

UONGOZI wa Singida Black Stars umeweka wazi kuwa malengo makubwa ni kuleta ushindani kitaifa kutokana na usajili makini waliofanya pamoja na uzi mzuri kuliko timu zote Bongo kuwa mali yao kwa msimu wa 2024/25. Timu hiyo inanolewa na Kocha Mkuu, Patrick Aussems wengi hupenda kumuita Uchebe aliwahi kuifundisha Simba inayoshiriki Ligi Kuu Bara na mafanikio…

Read More

MWENDELEZO WA LIGI KUU BARA UMAKINI UNAHITAJIKA

MWENDELEZO wa Ligi Kuu Bara ikiwa ni mzunguko wa kwanza unapaswa kuendelea kwa hesabu kubwa kwa timu ambazo zinashuka uwanjani kwa wakati huu. Kila timu mpango kazi wake ni kupata matokeo hivyo kwa wale ambao hawajawa kwenye mwendo mzuri ni muda wa kufanya maboresho kwenye makosa yaliyopita. Ipo wazi kwamba kila timu inahitaji kupata matokeo…

Read More

USIKU KABISA KAGERE AFUNGA BAO LA USHINDI KWA SIMBA

MEDDIE Kagere amepachika bao la ushindi mbele ya Namungo FC dakika 90+4 kwa pasi ya Mohamed Hussein.    Bao hilo lilikuwa ni la jasho kubwa kwa kuwa Namungo walikuwa wakipambana kusaka bao kama ambavyo ilikuwa kwa Simba ambao nao walikuwa wakifanya hivyo ila mikono ya kipa Jonathan Nahimana ilikuwa kwenye ubora katika kuoka hatari. Ni…

Read More

FEI TOTO ASHUSHA PRESHA YANGA

KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ameweka wazi kuwa wao kama wachezaji wanaendelea kujipanga kuhakikisha wanapata alama tatu kwenye michezo yao inayofuata kwani msimu huu wana jambo lao hivyo mashabiki wasiwe na wasiwasi. Yanga hadi sasa inaongoza Ligi Kuu Bara kwa pointi 16 katika michezo yote sita iliyocheza hadi sasa huku ikifuatiwa na Simba wenye pointi 14.  Feisal alisema kuwa kama safari ndio kwanza imeanza ya kusaka ubingwa, hivyo wamejipanga vizuri kuhakikisha wanapata alama tatu kwenye mechi zao…

Read More

CHAMA KARUDI ILA BADO HAJAWA FITI

LICHA ya kuanza mazoezi ndani ya kikosi cha Simba kiungo Clatous Chama bado hajawa fiti kutokana na kukaa nje kwa muda mrefu akitibu majeraha ya enka. Nyota huyo wa Simba kwa sasa yupo Bongo baada ya kurejea kutoka Zambia Julai 10 ambapo alikuwa huko akipewa matibabu ya enka ambayo aliiumia kwenye mchezo wa dabi dhidi…

Read More

JOB MTU WA KAZIKAZI YANGA

DICKSON Job beki bora wa msimu wa 2022/23 bado anaonyesha thamani yake uwanjani kuwa ni chuma cha kazi kutokana na kuwa ni chaguo la kwanza la Miguel Gamondi. Job anayekipiga ndani ya kikosi cha Yanga ni shuhuda timu hiyo ikikomba pointi tatu mazima dhidi ya Azam FC kwenye Mzizima Dabi kwa mabao ya Aziz KI…

Read More