YANGA WAIPIGIA HESABU AL HILAL

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema kuwa wameona ubora wa wapinzani wao Al Hilal ya Sudan hivyo watafanya maandalizi mazuri kupata matokeo. Nabi amesema ameona ubora wa Al Hilal ambao ameuficha kwa kukataa kuuweka wazi kwa kuhofia wapinzani kushtuka, zaidi akipanga kukiimarisha zaidi kikosi chake ili kuhakikisha anapata ushindi nyumbani na ugenini. “Mimi ni…

Read More

MBEYA CITY MAMBO MAGUMU NGOMA MPAKA CHAMPIONSHIP

LICHA ya mashabiki wa Mbeya City kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Sokoine mambo yamekuwa magumu kwa timu hiyo kusalia ndani ya Ligi Kuu Bara. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Mbeya City 0-1 Mashujaa kutoka Kigoma wakipeta kwa ushindi wa jumla ya mabao 1-4. Katika mchezo wa kwanza uliochezwa Kigoma ubao ulisoma Mashujaa 3-1 Mbeya…

Read More

MKWAKWANI, COASTAL UNION 0-1SIMBA,MAPUMZIKO

Mapumziko, Uwanja wa Mkwakwani Tanga, Coastal Union 0-1 Simba. Bao la kuongoza kwa Simba limepachikwa na kiungo Bernard Morrison dk ya 40 baada ya beki wa Coastal Union kufanya makosa katika kupiga pasi kwenda mbele. Coastal Union chini ya Kocha Mkuu Juma Mgunda imeweza kuotea mara mbili na wamepiga mashuti matatu ambayo yamelenga lango. Simba…

Read More

KMC V NAMUNGO FC KESHO KINAWAKA

“TUNAHITAJI kushinda na sio matokeo mabaya kwenye mechi zetu ambazo tunacheza na kila kitu kinakwenda sawa,” ni Christina Mwagala, Ofisa Habari wa KMC. Timu hiyo inakibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Namungo FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. Huo ni mzunguko wa pili ambapo kila timu inasaka ushindi kwa hali na mali kufikia…

Read More

VIDEO: YANGA WAMVAA PRIVA KUVAA UZI WA SIMBA

SHABIKI wa Yanga ameabinisha kuwa hakutarajia kuhusu ujio wa Ally Kamwe ndani ya Yanga na amefurahi kuskia kwamba amepewa nafasi hiyo, kuhusu Priva akiwa na jezi za Simba wamebainisha kuwa kijana huyo ni msomi na mwanasheria ana jezi nyingi amazo amevaa ikiwa ni pamoja na Coastal Union haina maana kwamba yeye ni Simba lialia

Read More

NABI KUIBUKIA AFRIKA KUSINI

BAADA ya kufikia makubaliano ya kutoongeza mkataba ñdani ya Yanga, Nasreddine Nabi anatajwa kuwa katika hesabu za Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini. Dili la Nabi lilikuwa linagota ukingoni mwishoni mwa msimu huu wa 2022/23. Nabi amekiongoza kikosi cha Yanga msimu wa 2022/23 kwa mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kutwaa taji la Ligi Kuu Bara,…

Read More