HII HAPA RATIBA YA LEO LIGI KUU BARA
BAADA ya mabingwa Yanga kukabidhiwa ubingwa wao wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2021/22 mbele ya Mbeya City kwenye sare ya kufungana bao 1-1, Uwanja wa Sokoine bado ligi inaendelea. Leo Juni 26, mechi mbili za mzunguko wa 29 zitachezwa ambapo kila timu inapambana kusaka pointi tatu muhimu. Namungo FC itakuwa ugenini Uwanja wa Manungu…