BEKI INONGA WA SIMBA APEWA TUZO YA MCHEZAJI BORA
BEKI wa Klabu ya Simba inayonlewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco, Henock Inonga leo Mei 6 amekabidhiwa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Simba ACP Fans Player of the Month) ya mwezi Aprili. Tuzo hiyo ameweza kuitwaa baada ya kuwashinda mabeki wenzake ambao ni Shomari Kapombe na Joash Oyango ambao waliingia kwenye fainali…