IHEFU WAIVUNJA REKODI YA YANGA KWENYE LIGI

 WAKULIMA kutoka Mbeya, Ihefu FC wamevunja mwiko wa Yanga kuendelea kucheza mechi za ligi bila kufungwa baada ya kupata ushindi wa mabao 2-1. Wakiwa Uwanja wa Highland Estate, Ihefu walianza kutunguliwa bao kipindi cha kwanza kupitia kwa kiraka Yanick Bangala dakika ya 8. Ni Nivere Tigere aliweka usawa dakika ya 38 na kuwafanya waende mapumziko…

Read More

KIKOSI BORA CHA MWAKA CAF MWAKA 2024… ONANA WA MAN UTD NDANI

Kikosi bora cha Mwaka 2024 Afrika kwa Wanaume, Ronwen Williams ametemwa huku Andre Onana wa Manchester United akijumuishwa sambamba na Mohammed Kudus, Ademola Lookman na Mohammed Salah. KIKOSI BORA CHA MWAKA CAF 🇨🇲 André Onana 🇲🇦 Achraf Hakimi 🇸🇳 Kalidou Koulibaly 🇨🇩 Chancel Mbemba 🇲🇦 Sofyan Amrabat 🇨🇮 Franck Kessié 🇲🇱 Yves Bissouma 🇬🇭 Mohammed…

Read More

MAN UNITED KUITIBULIA ARSENAL KWA RAPHINHA

UWEZO mkubwa aliouonyesha staa wa Leeds United, Raphinha kwa kuisaidia timu hiyo kusalia ndani ya Ligi Kuu England imezivutia klabu za Tottenham, Liverpool na Manchester United ambao sasa wameingia katika mbio hizo dhidi ya Arsenal ambayo tayari imetenga dau la pauni milioni 50. Mbrazil huyo alikuwa kinara wa mabao ndani ya kikosi cha Leeds msimu…

Read More

AZAM FC YAWAITA MASHABAKI KUIZOMEA KMC

UONGOZI wa Azam FC umewaita mashabiki kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Azam Complex leo kuwazomea wapinzani wao KMC ili kuwamaliza mapema kwenye mchezo wa ligi. Timu hiyo ikiwa imetoka kuambulia kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar,leo ina kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya KMC FC.  Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit…

Read More

YANGA KUIKABILI TP MAZEMBE KIVINGINE

KOCHA Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi, amesema kuwa watabadili mbinu kwenye mchezo dhidi ya TP Mazembe, huku akija kwa utofauti kulingana na mchezo husika. Nabi amesema kuwa kila mchezo una mbinu zake tofauti kulingana na aina ya wapinzani wanaokwenda kukutana nao jambo linalowapa nguvu ya kuingia uwanjani kusaka ushindi. Leo, Yanga inatarajiwa kucheza mchezo wa…

Read More

TFF YATOA MAELEKEZO KWA WAGOMBEA WA UCHAGUZI MKUU 2025

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewataka waombaji wote wa nafasi ya uongozi kwenye Uchaguzi Mkuu wa TFF utakaofanyika Agosti 16 mwaka huu Jijini Tanga kuhakikisha wanakuwa na Kanuni za Uchaguzi. Taarifa ya leo Juni 17, 2025 iliyotolewa na TFF imeeleza kuwa wagombea hao wanapochukua fomu za kuwania uongozi katika uchaguzi huo wanatakiwa kuhakikisha…

Read More

SAKATA LA MANULA SIMBA KUCHUKULIWA HATUA

BAADA ya Simba kutotoa ufafanuzi kuhusu uwepo wa Aishi Manula kwenye kikosi msimu wa 2024/25 Jemedari Said ameweka wazi kuwa wanasikitishwa na kitendo cha Simba hivyo watachukua hatua kuona mchezaji huyo anapata haki. Kwenye ukurasa wa Instagram ameandika namna hii: “Tunazungumza na wanasheria wetu kuona namna watakavyoshughulia suala la klabu ya Simba na mchezaji wetu…

Read More

AZAM FC WANAANZA KAZI BONGO

MATAJIRI wa Dar, Azam FC chini ya Kocha Mkuu Yusuph Dabo wanafungua pazia la Ligi Kuu Bara kwa mchezo wa kwanza ugenini dhidi ya JKT Tanzania. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2023/24 Azam FC iligotea nafasi ya pili na kupeperusha bendera ya Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo imegotea hatua ya awali. APR ya Rwanda…

Read More