
WAWEKEZAJI WAWEKEWE MAZINGIRA MAZURI, WAKIONDOKA ITAKUWA AIBU KWETU
WAKATI kukiwa na ongezeko la bei ya mafuta katika nchi nyingi Tanzania ikiwamo, huenda mitandao ya usafirishaji kama Uber, Bolt, Taxify na mingine, ikawa mkombozi zaidi kwa watumiaji wa teksi, bajaji na pikipiki maarufu (bodaboda) mijini. Hii ni kwa kuwa tangu sekta hii ianze kutoa huduma zake katika miaka ya hivi karibuni, licha ya…