WINGA WA KAZI IMEISHA HIYO YANGA

KUTOKA Dodoma mpaka Dar kutokana na uwezo wake ambao uliwavutia mabosi wa Yanga wakampa dili kuitumikia timu hiyo. Alikuwa anacheza ndani ya Dodoma Jiji akaanza changamoto mpya Yanga yenye maskani yake Jangwani, Kariakoo. Mafanikio makubwa akiwa na timu hiyo ni pamoja na kuwa miongoni mwa wachezaji walioandika historia ya kutinga hatua ya fainali katika Kombe…

Read More

SARAH WA HARMONIZE ATOKELEZEA NA JEZI YA SIMBA

Aliyekuwa mke wa Harmonize @harmonize_tz , @sarah__tz ametokea katika picha zinazoonyesha jezi mpya za Simba ambazo wamezitambulisha Jumatatu, Januari 3, 2022. Sarah ambaye hivi karibuni alionekana kuwa na mmoja wa mameneja wa @diamondplatnumz , @sallam_sk , ametokelezea katika picha hizo akiwa modo wanaotangaza ujio wa jezi ambazo zitatumiwa na Simba katika Kombe la Shirikisho Afrika…

Read More

MSHAMBULIAJI KMC AINGIA ANGA ZA YANGA

NYOTA Wazir Junior mshambuliaji wa KMC ameingia anga za Yanga kwa kuwa sawa kwenye utupiaji na mwamba Aziz KI ndani ya Ligi Kuu Bara. Ikumbukwe kwamba Junior aliwahi kucheza katika kikosi cha Yanga alipoibuka hapo akitokea Mbao lakini alikwama kuwa kwenye ubora kutokana na kutopewa nafasi mara kwa mara na hata alipopewa hakuwa na bahati…

Read More

MAJEMBE MAPYA YANGA KUANZA KAZI

RASMI uongozi wa Yanga umefunguka kuwa kuna uwezekano mkubwa wa wachezaji wapya watakaosajiliwa na timu hiyo katika dirisha hili dogo la usajili kutumika katika michuano ya Kombe la Mapinduzi itayoanza kutimua vumbi Januari visiwani Zanzibar. Yanga katika dirisha hili dogo la usajili wanahusishwa kwa karibu na baadhi ya wachezaji akiwemo mshambuliaji Jean Marc Makusu anayekipiga DC Motema Pembe na kiungo mshambuliaji Fabrice Ngoma anayekipiga Raja Casablanca ya Morroco. Pia…

Read More

YANGA WAPIGIWA GWARIDE LA HESHIMA

MABINGWA wa Ligi Kuu Bara Yanga chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kwenye mchezo wao dhidi ya Mbeya City walipigwa gwaride la heshima. Gwaride hilo Yanga walipigiwa kabla ya mchezo wao wa mzunguko wa pili dhidi ya Mbeya City Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Dakika 90 zilikamilikwa kwa sare ya kufungana mabao 3-3 na kugawana pointi…

Read More

JKT TANZANIA WAISUBURIA YANGA NUSU FAINALI

WAJEDA JKT Tanzania wanasubiri mshindi wa mchezo wa hatua ya robo fainali ya Aprili 15 2025 kati ya Yanga dhidi ya Stand United unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC Complex. Ikumbukwe kwamba JKT Tanzania inaingia kwenye orodha ya timu pekee iliyoambulia sare mbele ya mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne…

Read More

HELLO THIS IS ANFIELD

THIS is Anfield, kwenye mlango wa kuingilia uwanja wa Anfield unaotumiwa na Liverpool kipo kibango kilichoandikwa maneno hayo. Hii ni Anfield, wakati Jurgen Klopp anatua Liverpool aliwakataza wachezaji kukigusa mpaka pale watakapochukua kombe kubwa. Si kitu kidogo, sio neno la kawaida.Aliwahi kuwepo Bill William Shankly, baba wa Liverpool, kabla hajafa aliwaambia siku akifa mwili wake…

Read More

NABI AFICHUA MAZITO KIPIGO CHA WAARABU

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, amefunguka kuwa, sababu kubwa iliyopelekea kufanikiwa kuibuka na ushindi dhidi ya Waarabu, US Monastir, ni kutokana na kupata muda wa kutosha kuwasoma wapinzani wake hao. Nabi ametoa kauli hiyo kufuatia Yanga kufuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0…

Read More

MWAMBA LUSAJO ANASEPA NAMUNGO

NYOTA Reliants Lusajo ameandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa Instagram wa kuiaga familia yake ya Namungo alikokuwa akipambania majukumu yake. Namungo inashiriki Ligi Kuu Bara inatumia Uwanja wa Majaliwa kwa mechi za nyumbani. Dirisha dogo la usajili tayari limefunguliwa tangu Desemba 16 na wachezaji wanatoka na kuingia kwenye klabu tofauti ambapo ameweka wazi kwamba anakwenda…

Read More