
KOCHA MPYA AZAM FC ASAINI MIAKA MITATU
OMAR Abdikarim Nasser amesaini dili la miaka mitatu kuwa Kocha Msaidizi mpya wa Klabu ya Azam FC inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara. Januari 29 alitambulishwa rasmi kuwa ni mali ya timu hiyo inayotumia Uwanja wa Azam Complex kwa mechi zao za nyumbani. Kwa mujibu wa Azam FC wamebainisha kwamba ujio wake ni pendekezo la Kocha…