VIGONGO VYA AZAM FC MACHI NI HIVI HAPA

MATAJIRI wa Dar Azam FC ndani ya Machi wana vigongo vikali vya moto viwili pekee ambavyo ni dakika 180. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Kali Ongala kete yake moja ni Kombe la Azam Sports na nyingine moja ni ya ligi. Itakuwa nyumbani Machi 5, Jumapili kusaka ushindi dhidi ya Mapinduzi ikiwa ni hatua ya…

Read More

GEITA GOLD KITUO KINACHOFUATA KAITABA

BAADA ya Klabu ya Geita Gold kupoteza katika mchezo wake uliopita kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Azam FC, Novemba 20 wanakibarua kingine cha kusaka pointi tatu. Kwenye mchezo huo Khoeminy Aboubakhari kipa wa Geita Gold aliweza kuokoa penalti ya matajiri wa Dar pale Azam Complex sasa kituo kinachofuata ni Kaitaba, Bukoba. Geita Gold haijawa…

Read More

HIZI HAPA MECHI ZIJAZO ZA YANGA NA SIMBA

BAADA ya Kariakoo Dabi kugota mwisho mzunguko wa kwanza na ubao wa Uwanja wa Mkapa Oktoba 19 kusoma Simba 0-1 Yanga kazi bado inaendelea kwa Ligi Kuu Bara mechi kuwa za moto huku vinara wakiwa ni Singida Black Stars ambao walikomba pointi tatu kwenye mchezo uliopita dhidi ya Namungo. Oktoba 20 ubao wa Uwanja wa…

Read More

BALEKE, NTIBANZOKIZA KUKUTANA NA BALAA HILI SIMBA

MASTAA wa Simba kwenye upande wa ushambuliaji ikiwa ni Jean Baleke, John Bocco na viungo Saido Ntibanzokiza watakutana na balaa la Kocha Mkuu, Abdlehak Benchikha kutokana na kushindwa kuzitumia nafasi ambazo walizipata kwenye mechi dhidi ya KMC. Desemba 23 ikiwa ni mchezo wa mwisho kwa Simba ndani ya 2023 katika Ligi Kuu Bara walishuhudia ubao…

Read More

MUACHENI AIR MANULA AWE AIR KWENYE KAZI

AISHI Manula, ‘Air Manula’ kipa namba moja wa Simba ni Air Manula kwelikweli kama anavyopenda kuitwa kwa kuwa amewafunika makipa wote kwa upande wa kucheza mechi nyingi na kuwa namba moja kufungwa mechi chache. Pongezi kubwa kwa ukuta wa Simba unaongozwa na Joash Onyango pamoja na Henock Inonga ambao umeweza kumshuhudia kipa wao akiokota mabao…

Read More

GAMONDI AMKOMALIA JOB

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa ni lazima safu yake ya ulinzi kuhakikisha inakuwa kwenye mwendo bora kila wakati katika mechi za ushindani ili kuongeza nguvu ya kupata ushindi. Katika safu ya ulinzi ya Yanga chaguo namba moja kwa Gamondi ni Dickson Job beki mwenye rekodi ya kuwa mfungaji wa bao la…

Read More

GAMONDI MASTA NA HESABU KIMATAIFA HAPA

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amebainisha kuwa mpango mkubwa kwenye mechi za kimataifa ni kupata ushindi wapo tayari kutokana na maandalizi ambayo wanayafanya kwenye uwanja wa mazoezi. Machi 30 Yanga inatarajiwa kukabiliana na Mamelodi Sundowns mchezo wa Ligi ya Mabingwa hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo wao uliopita kwenye ligi Yanga…

Read More

AZAM FC WANASUBIRI TAARIFA KUTOKA BODI YA LIGI

 UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa hauna tatizo ikiwa watapewa taarifa kwamba mchezo wao dhidi ya Ruvu Shooting utapangiwa tarehe nyingine kutokana na taarifa kueeleza kuwa Ruvu Shooting wameomba iwe hivyo. Ruvu Shooting kupitia kwa Ofisa Habari wao, Masau Bwire ameweka wazi kuwa wameiandikia Bodi ya Ligi Kuu Tanzania,(TPLB) barua ya kuomba kupewa muda…

Read More