SALAH NI MZEE WA MAREKODI TU MAJUU
MOHAMED Salah, nyota anayekipiga ndani ya Liverpool inayonolewa na Kocha Mkuu, Jurgen Klopp amekuwa na wakati mzuri kwa msimu huu wa 2021/22 akiendelea kuandika rekodi matata kila iitwapo leo. Raia huyo wa Misri anatajwa kuwa mchezaji bora duniani kwa zama za wakati huu na ni tegemeo pia kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Misri…