HAPA NDIPO SIMBA ILIPOTUSUA

WAKIWA mashuhuda wa ubingwa wa Ligi Kuu Bara ukielekea kwa watani zao wa jadi Yanga, Simba wametusua katika vigongo vitatu vizito. Yanga imetwaa ubingwa wa ligi ikiwa na pointi 74 baada ya kucheza mechi 28 wawa na Simba yenye pointi 67. Ni safu ya ushambuliaji iliyofunga mabao mengi katika hili mastaa wa Simba walipambana kupachika…

Read More

TUNISIA SAFARI IMEWAKUTA LICHA YA KUSHINDA

LICHA ya timu ya taifa ya Tunisia kutoka Afrika kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ufaransa kwenye mchezo wa makundi Kombe la Dunia, Qatar 2022 safari yao imegota ukingoni. Mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa, Ufaransa walianzisha wachezaji wake wengi nyota benchi kwa kuwa inaonekana kuwa mbinu ya benchi la ufundi ilikuwa ni kuwapumzisha…

Read More

MAOKOTO YA AFCON, FA, COPA DEL REY & KASINO WIKI HII

Mashindano ya Mataifa ya Afrika AFCON yamenoga huko nchini Ivory Coast, leo Tanzania itasimama kushuhudia wajukuu wa Nyerere wakiwa kwenye dimba lenye jina la gwiji wa nchi hiyo Laurent Pokou, watakipiga dhidi ya Morocco ambapo Taifa Stars wamepewa odds kubwa ya 14.7 Historia inaonesha nchi ya Mapharao wenye utajiri wa mafuta, vipaji vya soka, maandiko…

Read More

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA REAL BAMAKO

KIKOSI cha Yanga kinachotarajiwa kuanza kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Real Bamako, Uwanja wa Mkapa hiki hapa:- Diarra Djigui Djuma Shaban Joyce Lomalisa Mwamnyeto Job Bangala Kisinda Mudhathir Mayele Aziz KI Musonda Akiba Metacha Bacca Kibwana Mauya Doumbia Aucho Farid Moloko

Read More

GEITA 0-1 YANGA

BAO la penalti limefungwa na Bernard Morrison dakika ya 45 na kuwapeleka Yanga mapumziko Uwanja wa CCM Kirumba wakiongoza mbele ya Geita Gold. Mwamuzi wa kati anajua kuhusu penalti hiyo namna ilivyoweza kuamuriwa kwa kuwa alikuwa karibu na mpira. Kutokana na penalti hiyo wachezaji wa Geita Gold walionekana wakilalamika na kupelekea Ayoub Lyanga kuonyeshwa kadi…

Read More

FUNGAFUNGA MICHEL FRED AWAIBUA SIMBA

MWAMBA Michel Fred ambaye Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba anapenda kumuita fungafunga ameweka wazi kuwa mashabiki waendelee kuwa na mshikamano mambo mazuri yanakuja. Timu hiyo imetinga hatua ya fainali Kombe la Muungano 2024 kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KVZ inatarajiwa kumenyana na Azam FC Aprili 27 katika mchezo…

Read More

HAJI MANARA AFUNGUKIA ISHU YA TUZO

OFISA Habari wa Yanga, Haji Manara amefunguka baada ya kubwagwa kwenye tuzo za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) msimu wa 2020/21, kipengele cha Muhamasishaji Bora. Tuzo hiyo ilikwenda kwa shabiki kindakindaki wa Taifa Stars, Nick Renold maarufu kama Bongo Zozo, ambaye aliwashinda Manara na Masau Bwire wa kKlabu ya Ruvu Shooting. Manara ambaye alikuwa akiwania…

Read More

SITA WA SIMBA WAITWA TIMU ZA TAIFA

MASTAA sita wa Simba inayoongoza Ligi Kuu Bara msimu wa 2024/25 wameitwa kwenye majukumu yao ya timu ya taifa kwa ajili ya kuwania kufuzu AFCON 2025. Ipo wazi kwamba Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kwenye mechi mbili za ligi ambazo ni dakika 180 imekomba jumla ya pointi sita na safu ya ushambuliaji imefunga…

Read More

WASHIKA BUNDUKI WAMECHANA MKEKA

KICHAPO cha mabao 2-0 wakiwa ugenini kimewapunguza kasi washika bunduki kuigusa Top 4 kutokana na kuachwa pointi na wale walio nafasi ya nne. Ni Tottenham ipo nafasi ya nne ikiwa na pointi 68 baada ya kucheza mechi 37 ikiwa ni tofauti ya pointi mbili na Arsenal. Ben White alijifunga dk ya 55 ya mchezo ilikuwa…

Read More

SIMULIZI KUHUSU JAMAA ALIYEPOTEA KWA MUDA KISA SHILINGI

SIMULIZI ya kuhusu aliyepotea kwa muda usiojulikana kisa fedha:- Alhamisi moja kunako mwaka wa 2002, nilipokuwa nafanya kazi ya kuungaunga katika kampuni moja ambapo ilinilazimu kuamka mapema sana ili kuhakikisha kwamba nawahi stendi ambapo wafanyikazi walichakuliwa watakaopata kibarua siku ile. Siku yenyewe ilikucha kwa mbwembwe kwelikweli kiasi cha kuonekana yenye nyota njema.Katika harakati zangu za…

Read More