SIMBA 3-1 COASTA UNION

UBAO wa Uwanja wa Uhuru unasoma Simba 3-1 Coastal Union ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili. Saido Ntibanzokiza alifunga bao la kuweka usawa dakika ya 13 akisawazisha bao la Coastal Union waliopachika bao la kuongoza kwa pigo la penalti dakika ya 7 kupitia kwa Amza Moboubarack. John Bocco kipindi cha pili amepachika bao la…

Read More

ALLY SALIM BADO SANA KUWA BORA

ALLY Salim kipa namba tatu wa Simba mchezo wake wa kwanza akiwa langoni dhidi ya Yanga amefanikiwa kukamilisha dakika 90 bila kufungwa. Bado anajitafuta kutokana na makosa mengi ya kiufundi hasa kwenye kuokoa na kutema hapo ndipo panamfanya awe kwenye kazi ngumu ya kufanya. Ally amesababisha kona nne kwenye mchezo dhidi ya Yanga kutokana na…

Read More

KIUNGO LUIS AKUBALI KUTUA YANGA, OFA YA MAANA MEZANI

TAARIFA zikufikie kuwa, kiungo wa Al Ahly ya nchini Misri, Luis Miqquissone ameikubali ofa nono aliyowekewa na mabosi wa Yanga ili kufanikisha dili lake la kutua mitaa ya Jangwani. Luis ni kati ya wachezaji wanaotajwa kuwaniwa na Yanga katika usajili huu wa dirisha dogo lililofunguliwa tangu Desemba 16,2022. Wachezaji wanaotajwa kuwepo katika mipango ya kusajiliwa…

Read More

ZAWADI ALIYOPEWA MAYELE KWA WAARABU HII HAPA

FISTON Mayele amepewa jezi namba 9 ndani ya kikosi cha Pyramids ikiwa ni ingizo jipya. Nyota huyo msimu wa 2022/23 alikuwa ndani ya kikosi cha Yanga ambacho kilikuwa kinanolewa na Nasreddine Nabi. Namba 9 inakuwa ni zawadi kwake Mayele kuendelea kuitumia kama alivyokuwa akifanya ndani ya Yanga na sasa atakuwa akiivaa mbele ya Waarabu hao…

Read More

FEI TOTO:NAPENDA KUONA TIMU INASHINDA

FEISAL Salum, kiungo wa Yanga amebainisha kuwa jambo ambalo analipenda akiwa uwanjani ni kuona timu yake inashinda. Fei ni namba moja kwa utupiaji ndani ya kikosi cha Yanga akiwa ametupia mabao matatu na pasi moja kati ya tisa ambayo yamefungwa na timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Katika mechi tano ametumia jumla ya…

Read More

MATAIFA MANNE YAIMALIZA RED ARROWS

MATAIFA manne yalitosha kuwatuliza Wazambia kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho uliochezwa Uwanja wa Mkapa ubao uliposoma Simba 3-0 Red Arrows. Ni Bernard Morrison kutoka Ghana aliweza kuwapa tabu Wazambia kwa kuwa alihusika kwenye mabao yote matatu, alifunga mawili na kutoa pasi moja ya bao. Meddie Kagere raia wa Rwanda aliweza kufunga bao moja kwa…

Read More

Mbagala Rangi 3 Yafurahia Ujio wa Meridianbet

Nancy Ingram ambaye ni mhariri mkuu wa kampuni ya ubashiri Tanzania, Meridianbet akiongozana na timu yake nzima leo hii walifika Mbagala Rangi 3 kwaajili ya kugawa miamvuli kwa wafanyabiashara wadogowadogo. Ikiwa bado hali ya hewa haijakaa vizuri kutokana na hizi mvua ambazo zinaendelea kunyesha Meridianbet wameona kuna haja ya kutoa miamvuli kwa wafanyabiashara kwaajili ya…

Read More

YANGA V SINGIDA BIG STARS KUKIWASHA

CEDRICK Kaze, kocha msaidizi wa Yanga ameweka wazi kuwa mchezo wao dhidi ya Singida Big Stars hautakuwa mwepesi hivyo wataingia kwa nidhamu. Ni mchezo wa pili kwenye Kombe la Mapinduzi Yanga watacheza leo Januari 6,2023 baada ya ule wa kwanza kukamilisha kwa ushindi. Katika mchezo wa ufunguzi Yanga ambayo inamtumia Yacouba Songne kwenye mashindano hayo…

Read More

SIMBA WATAJIWA BEI YA FEISAL KUTOKA AZAM

UONGOZI wa Azam FC umekubali kumuachia kiungo wake mshambuliaji, Feisal Salum kwenda katika klabu itakayomuhitaji katika msimu ujao kwa dau la Sh 5Bil. Kiungo huyo anatajwa katika usajili wa Simba ambayo imepanga kufumua kikosi chao na kukiimarisha ili kirejeshe makali yake msimu ujao. Simba ndani ya misimu mitatu mfululizo imeshindwa kubeba ubingwa wa Ligi Kuu…

Read More

SIMBA HAITAKI KUTESEKA

PABLO Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa hataki kuteseka kwa kupoteza kwenye mchezo wa kesho dhidi ya Red Arrows ya Zambia ambao ni wa marudio. Mchezo huo wa Kombe la Shirikisho unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa ambapo mshindi wa jumla atatinga hatua ya makundi. Simba inakumbuka kwamba mchezo wa kwanza ilishinda mabao 3-0 Uwanja…

Read More

HAALAND MOTO CHINI, KAZI NYINGINE LEO USIKU

JANUARI bado inaendelea na maneno kuhusu huyu mwamba ndani ya Manchester City ni balaa. Kwa kutupia dani ya Premier League ni mkali wa kutupia kwenye ligi zote duniani zenye ushindani mkubwa. Mabao yake 25 yamewaacha mabeki wa Premier League wakiwa na hofu akivunjavunja rekodi za wababe wengi ndani ya ligi hiyo pendwa. Amevuka idadi ya…

Read More

MABINGWA WATETEZI WAREJEA DAR

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba leo Januari 27,2022 wamerejea salama Dar es Salaam. Timu ya Simba chini ya Kocha Mkuu, Pablo Franco raia wa Hispani ilikuwa Kagera ambapo ilikuwa na mchezo wa ligi uliochezwa jana Januari 26. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Kaitaba ulisoma Kagera Sugar 1-0 Simba na…

Read More

YANGA YAITUNGUA GEITA GOLD

Heritier Makambo, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa mchezo wao wa leo dhidi ya Geita Gold ulikuwa ni muhimu kwao kupata pointi tatu muhimu. Baada ya dakika 90, ubao wa Uwanna wa CCM Kirumba umesoma Geita Gold 0-1 Yanga. Bao pekee la ushindi limefungwa na Fiston Mayele ilikuwa dakika ya kwanza na liliweza kudumu mpaka dakika…

Read More

MAYELE BADO NI MWANANCHI,MADILI MENGINE YAMEKWAMA

MADILI yote ambayo yalikuwa yanatajwa juu yake mwisho yamezimwa na sasa ni rasmi mwaba Fiston Mayele bado yupo sana ndani ya Yanga.   Nyota huyo alikuwa anatajwa kuwa kwenye rada za timu kubwa Afrika ikiwa ni pamoja na Morocco, Afrika ya Kusini ambazo zilikuwa zinahitaji saini yake. Yanga wameamua kumpa dili lingine ambalo litamfanya adumu…

Read More