SIMBA NDANI YA DAR

BAADA ya kukamilisha dakika 90 za kimataifa ugenini tayari kikosi cha Simba kimerejea Dar. Februari 25,2023 kilishuka Uwanja wa St Mary’s kusaka pointi tatu dhidi ya Vipers ukiwa ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma Vipers 0-1 Simba huku mtupiaji akiwa ni Henock Inonga aliyepachika bao…

Read More

SPORTPESA DABI MLANGONI, RATIBA HII HAPA

KAZI bado inaendelea ndani ya uwanja kwa kila timu kusaka pointi tatu baada ya dakika 90. Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa ni mzunguko wa pili unaendelea kwa kila timu kupambania kufikia malengo ya kupata pointi tatu. Ijumaa ya Aprili 12 kuna mechi ambazo zinatarajiwa kuchezwa ni Tanzania Prisons v KMC huu unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa…

Read More

KILICHOPANDWA KIMEVUNWA KOMBE LA SHIRIKISHO

MATUKIO ambayo yamekuwa yakitokea kwenye mechi uwanjani yapo yanayokera na yanayofurahisha lakini muhimu kila mmoja kuwa makini katika kutekeleza majukumu yake. Tumeona kwamba kuna wachezaji ambao wamekuwa wakitumia nguvu kubwa nah ii inatokana na hasira lakini kwa namna yoyote ile ni lazima kila mchezaji kuwa mlinzi wa mchezaji mwenzake. Kwa timu ambayo itakosa kupata matokeo…

Read More

SIMBA YAPOTEZA MCHEZO WA KIMATAIFA

KIKOSI cha Simba leo kimepoteza mchezo wa kirafiki kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Arta Solar uliochezwa Uwanja wa Uhuru. Bao pekee la ushindi kwa Arta Solar lilipachikwa dakika ya 89 kupitia kwa nyota wao Manunchu Athuman ambaye aliweza kupachika bao hilo lililomshinda kipa Ally Salim. Dakika 45 za kipindi cha kwanza Simba walifanikiwa kutawala…

Read More

MAN UTD YAITANDIKA CHELSEA OLD TRAFFORD 2-1

Shughuli imemalizika, alama tatu muhimu kwa Mashetani Wekundu katika dimba la Old Trafford. FT: Man United 2-1 Chelsea ⚽⚽ McTominay 19’ 69’ ⚽ Palmer 45’ Manchester United imefikisha alama 27 baada ya mechi 15 ikikwea mpaka nafasi ya sita kwenye msimamo wa Ligi Kuu England. Chelsea inasalia nafasi ya 10 alama 19 baada ya mechi…

Read More

KMC V AZAM FC KUKIWASHA LEO

UWANJA wa Uhuru leo unatarajiwa kuchezwa mchezo wa kukata na shoka kati ya KMC, Wanakino Boys dhidi ya Azam FC hawa matajiri wa Dar. Utakuwa ni mchezo wa 7 kuwakutanisha kwenye mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo rekodi zinaonyesha kwamba Azam FC wamekuwa wababe mbele ya KMC. Azam FC ni mara tatu imeshinda huku…

Read More

UNYAMA KUENDELEZWA KWA WAARABU, ITAFAHAMIKA

UNYAMA unatarajiwa kuendelezwa leo nchini Misri kwa mchezo wa hatua ya robo fainali ya pili ya African Football League kati ya Al Ahly dhidi ya Simba kutoka Tanzania. Benchi la ufundi chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira limebainisha kuwa lina imani ya kupata matokeo ugenini ili kutinga hatua ya nusu fainali.  Hapa tunakuletea hesabu namna…

Read More

JEMBE LA KAZI LINATUA YANGA

GIFT Fred kutoka SC Villa ya Uganda anatajwa kuwa kwenye hesabu za mabosi wa Yanga. Yanga ipo kwenye mpango wa kuboresha timu hiyo kwa ajili ya msimu wa 2023/24. Ni Nikson Kibabage huyu ni mchezaji wa kwanza kutambulishwa ndani ya kikosi cha Yanga na wengine wanafuata. Mwamba huyu ni beki ambaye dili lake likikamilika atakuja…

Read More