
SIMBA V JKT TANZANIA TAMBO ZATAWALA
BAADA ya kutoka kuvuna pointi tatu mbele ya Kagera Sugar katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Kaitaba Desemba 21 na ubao kusoma Kagera Sugar 2-5 Simba leo watakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya JKT Tanzania. Simba inakutana na JKT Tanzania ambayo mchezo wao uliopita ilikuwa ugenini dhidi ya Namungo, baada ya dakika 90…