
DUBE NA MILOUD WAMEKIMBIZA KWA FEBRUARI
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Prince Dube na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi wamekimbiza ndani ya Februari kwa kusepa na tuzo kutoka Ligi Kuu Bara wote wakiwa wanatokea Jangwani. Ndani ya Februari kwenye mechi tano rekodi zinaonyesha kuwa Dube alihusika kwenye mabao matano na alifunga matano hivyo akahisika mojamoja kwenye mchango wa mabao 10. Ni mechi 7 alicheza…