
BITTECH YAWASHIKA MKONO WATOTO YATIMA MAGOMENI, DAR
Kampuni ya Bittech kwa kushirikiana na KMC FC imefanya zoezi la kugawa vifaa vya shule kwa watoto yatima wa Umra. Zoezi hilo la utoaji ilifanyika katika kituo cha watoto yatima cha Umra kilichopo Magomeni Mikumi, ambapo watoto wengi walifaidika na msaada huo muhimu. Akizungumza katika zoezi hilo la utoaji wa vifaa vya shule, Mhariri wa…