
CAMARA AIFIKIA REKODI YA AIR MANULA SIMBA SC
MOUSSA Camara kipa namba moja wa Simba SC ameifikia rekodi ya Aishi Manula kipa wa Simba SC katika kukusanya hati safi ndani ya uwanja kwenye mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika. Camara, Juni 22 2025 alianza kikosi cha kwanza dhidi ya Kagera Sugar na aliokoa hatari mbili zilizokuwa…