VALENCIA AWEKA REKODI HII KOMBE LA DUNIA

MWAMBA Enner Valencia ameandika rekodi yake ya kufunga mabao mawili kwenye mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Dunia. Wakati ubao wa Uwanja wa Al Bayt ukisoma Qatar 0-2 Ecuador ni Valencia alipachika mabao yote mawili ilikuwa dakika ya 16 kwa mkwaju wa penalti na dakika ya 31. Bao lake la dakika ya tatu lifutwa baada…

Read More

UGUMU WA YANGA MWISHO

UNAWEZA kusema zilikuwa siku ngumu kwa mashabiki wote wa Yanga baada ya kukaa muda mrefu bila kuishuhudia timu yao ikicheza katika ardhi ya Tanzania, jambo ambalo linatarajiwa kugota ukingoni leo Januari 30. Mabingwa hao watetezi watakakuwa na kibarua kusaka ushindi dhidi ya Hausing FC katika mchezo wa kombe la la Shirikisho la Azam Sports. Mchezo…

Read More

BREAKING:KOCHA MPYA YANGA HUYU HAPA

RASMI Miguel Angel Gamondi raia wa Argentina ametangazwa kuwa kocha mpya wa Yanga. Kocha huyo anachukua mikoba ya Nasreddine Nabi ambaye amefikia makubaliano ya kutongeza mkataba na timu hiyo. Nabi kwa misimu miwili aliyokuwa na kikosi cha Yanga ameiongoza kutwaa mataji mawili ya ligi mfululizo pamoja na kutinga hatua ya fainali ya Kombe la Shirikisho…

Read More

SIMBA QUEENS MABINGWA KIMATAIFA

BAADA ya ubao wa Uwanja wa Azam Complex kusoma She Corporate 0-1 Simba Queens katika Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake ukanda wa CECAFA Simba wanatangazwa kuwa mabingwa wa mashindano hayo. Bao pekee la ushindi kwa Simba lilijazwa kimiani na Vivian Corazona dakika ya 46 kwa mkwaju wa penalti. Dakika 45 za mchezo…

Read More

AZAM FC YAKOMBA POINTI, FEI ATUPIA

KIUNGO wa Azam FC, Feisal Salum amefikisha mabao sita ndani ya Ligi Kuu Bara baada ya kuongeza akaunti yake ya mabao. Bao hilo alifunga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara walipocheza dhidi ya Mtibwa Sugar. Ilikuwa ni siku mbaya kazini kwa Mtibwa Sugar abaada ya kuyeyusha pointi tatu ugenini na kichapo kikubwa wakapokea. Novemba 24…

Read More

HAPA HAALAND PALE RASHFORD MOTO UTAWAKA

Leo kitapigwa kipute kikali kati ya Manchester City dhidi ya Manchester United katika mchezo wa Ngao ya hisani, Mchezo huu ndo utafungua njia ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi kuu ya Uingereza 2024/25.   Manchester City leo watashuka dimbani wakiwa wanapewa nafasi zaidi ya kushinda mchezo wa leo kutokana na ubora wa kikosi chao,…

Read More

JUMA MGUNDA HESABU ZAKE KWA WANANCHI

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba ameweka wazi kuwa kwa sasa akili zake ni kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga. Mgunda anafanya kazi kwa ushirikiano na Seleman Matola wote wakiwa ni wazawa wamefanikiwa kukiongoza kikosi hicho kutinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika. Oktoba 23,2022 Uwanja wa Mkapa mchezo wa Kariakoo…

Read More

MWAMBA HUYU HAPA YUPO BADO SIMBA

MWAMBA Ayoub Lakred ataendelea kuwa ndani ya kikosi hicho baada ya kuongeza kandarasi nyingine hivyo ni uhakika msimu wa 2024/25 atakuwa na uzi wenye rangi nyekundu na nyeupe. Ipo wazi kwamba awali Lakred ilikuwa inatajwa kuwa kipa huyo yupo kwenye hesabu za kurejea Morocco ambapo kuna timu kubwa zilikuwa zinawania saini yake. Miongoni mwa timu…

Read More

KANUNI MPYA ZA WACHEZAJI WAKIGENI KUANZA LEO

 BODI ya Ligi Kuu Tanzania Bara, (TPLB) imebadilisha kanuni baada ya kufanya kikao cha maboresho ya kanuni za Ligi Kuu Bara. Kikao cha Kamati ya Utendaji ya Shirikisho ambacho kilikaa Agosti 9,2022 jijini Arusha kimekuja na mabadiliko hayo kwa kutoa taarifa kwa familia ya michezo. Kanuni hiyo ni pamoja na ile ya matumizi ya wachezaji…

Read More

MKUDE AFUNGA 2021 NA REKODI HII

JONAS Mkude, kiungo wa kazi zote chafu ndani ya uwanja amefunga kibabe mwaka 2021 kwa kutoa pasi yake ya kwanza ambayo ilikuwa ni zawadi ya Krismasi kwa mashabiki wake. Kiungo huyo ambaye kwa sasa ni chaguo la kwanza chini ya Kocha Mkuu, Pablo Franco awali zama za Didier Gomes hakuwa na nafasi ya kucheza kutokana…

Read More