SIMBA DAY NI AGOSTI 8,2022
AGOSTI 8,2022 inatarajiwa kuwa siku rasmi ya Simba Day ambayo itafanyika Uwanja wa Mkapa. Siku hiyo ni maalumu kwa ajili ya utambulisho wa wachezaji wa Simba pamoja na benchi la ufundi la timu hiyo ambayo kwa sasa ipo chini ya Kocha Mkuu,Zoran Maki. Timu hiyo imeweka kambi nchini Misri ikiwa ni kwa ajili ya maandalizi…