VIDEO:TAMBO ZA MASHABIKI WA SIMBA,WAIOMBA RADHI RUVU SHOOTING

MASHABIKI wa Simba wameweka wazi kwamba ushindi ambao wameupata wa mabao 7-0 dhidi ya Ruvu Shooting wanajua kwamba kuna maombolezo na wote wanaombeleza lakini kwenye mpira Simba wakiwa wanataka kitu lazima kikamilike hivyo wanaomba radhi kwa yaliyotokea. Ushindi wa mabao 7 Uwanja wa Mkapa unaifanya Simba kutinga hatua ya robo fainali inaungana na Yanga,Pamba,Polisi Tanzania,Azam…

Read More

MIGUEL GAMONDI REKODI ZAKE HIZI HAPA

YANGA inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi baada ya kucheza mechi nne ambazo ni dakika 360 imekomba ushindi mechi zote za Ligi Kuu Bara. Ipo wazi kwamba Yanga ni mabingwa watetezi wa taji la ligi walitwaa msimu wa 2023/24 walipomaliza msimu wakiwa na pointi 80 kibindoni baada ya kucheza mechi 30. Kwa msimu wa 2024/25…

Read More

SIKU MBAYA KAZINI KWA IHEFU

SIKU mbaya kazini kwa mastaa wote wa Ihefu pamoja na benchi la ufundi baada ya mbinu zao zote kufeli mbele ya Yanga ndani ya dakika 90. Benchi la ufundi likiwa limewaanzisha washambuliaji wake Obrey Chirwa na Adam Adam ambaye ni ingizo jipya kutoka Mtibwa Sugar walishuhudia dakika 90 zikayeyuka bila shuti lililolenga lango. Kipa Diarra…

Read More

Anza Alhamisi Yako na Meridianbet

Leo hii kuna mechi za kupiga pesa yaani ni kivumbi leo michuano ya Europa na Konferensi hatua ya Nusu Fainali ambapo kila timu inahitaji ushindi ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kusonga Fainali. Vijana wa  De Rossi AS Roma watamenyana dhidi ya Bayer Leverkusen ambao ndio timu pekee kwenye ligi bora Duniani Ulaya ambayo haijapoteza…

Read More

VIDEO: JEMBE: AZIZ KI BADO SANA ANAHITAJI MUDA

MWANDISHI mkongwe kwenye habari za michezo Jembe ameweka wazi kuwa Kocha Mkuu Nasreddine Nabi akipata nafasi ya kuwatumia mbele Aziz KI na Feisal inaweza kuwa bora kwa kuwa kuwa chini inakuwa haina msaada zaidi ya kucheza faulo na anaweza kupata kadi nyekundu, kiungo Aziz ki bado sana ndani ya Yanga kutokana na ubora wake zaidi…

Read More

HUYO KRAMO ANA BALAA KWELI HUKO

AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa nyota wao Aubin Kramo ana balaa akiwa kwenye uwanja wa mazoezi jambo linaloongeza nguvu kwenye kikosi hicho. Nyota huyo aliyeibuka Simba akitokea ASEC Mimosas hajaonyesha makeke yake uwanjani kutokana na kusumbuliwa na majeraha alipopata maumivu wakati wa maandalizi ya Ngao ya Jamii, Mkwakwani,…

Read More

AZAM FC YASEPA NA POINTI TATU MANUNGU

AZAM FC leo imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa mzunguko wa pili ambao umechezwa Uwanja wa Manungu, Morogoro. Ushindi huo unaifanya Azam FC kusepa na pointi tatu Uwanja wa Manungu leo Mei 21 na kufikisha pointi 36 kibindoni. Azam FC wakiwa wametoka kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1…

Read More

CONTE:KUANZA NA SARE NI MWENDO MZURI

Antonio Conte, Kocha Mkuu wa Tottenham amesema kuwa vijana wake wanahitaji muda zaidi kuweza kurejea kwenye ubora na kuonyesha kile ambacho wanacho ndani ya uwanja huku kuanza kwa sare ya bila kufungana akiamini kwamba ni mwendo mzuri wa kuanzia.   Mrithi huyo wa mikoba ya Nuno Espirito ambaye alifutwa kazi ndani ya timu hiyo kutokana…

Read More

TP MAZEMBE 0-0 YANGA

UWANJA wa TP Mazembe ubao unasoma TP Mazembe 0-0 Yanga ukiwa ni mchezo wa hatua ya makundi. Yanga wametinga hatua ya robo fainali tayari wanapambana kumaliza nafasi ya kwanza hatua ya makundi. TP Mazembe wao hawana cha kupoteza zaidi ya kutaka kulipa kisasi kwa mchezo ambao walipoteza Uwanja wa Mkapa ubao uliposoma Yanga 3-1 Yanga.

Read More

AZAM V YANGA,ACHA INYESHE IJULIKANE PANAPOVUJA

MFUMO ni uleule wa kusaka ushindi kwa timu zitakazoshuka uwanjani na hii ya leo ni Dabi ya Dar es Salaam itakayopigwa Uwanja wa Azam Complex saa 2:15 usiku. Unaambiwa acha inyeshe tuone panapovuja baada ya dakika 90 itafahamika nani ni nani kati ya Azam FC v Yanga. Timu zote zina wakali wa kucheka na nyavu…

Read More

YANGA BALAA KWENYE UTUPIAJI HUKO

MABINGWA wa Ligi Kuu Bara Yanga ni balaa kwenye utupiaji wakiwa ni namba moja katika timu iliyofunga mabao mengi msimu wa 2023/24. Chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ni mabao 60 timu hiyo imefunga baada ya kucheza jumla ya mechi 27 ikibakiwa na mechi tatu kukamilisha mzunguko wa pili. Kinara wa utupiaji ndani ya Yanga…

Read More

YANGA HAO KUIBUKIA MALI KAMILIKAMILI

BAADA ya kumaliza kete yao ya Ligi Kuu Bara Februari 22 kwa kusepa na pointi tatu mazima msafara wa Yanga umeanza safari kuelekea Mali. Februari 22 ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma KMC 0-1 Yanga na kuipa pointi tatu Yanga ikiwa inaongoza ligi. Bao pekee la ushindi lilifungwa na Clemnt Mzize akiwa ndani ya 18…

Read More

KAGERA SUGAR YAWATEGEA MTEGO SIMBA

KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Meck Mexime amesema kuwa anawatambua wapinzani wao Simba namna walivyo bora na wachezaji walivyo na akili katika kutimiza majukumu yao hivyo wataingia kwa tahadhari. Maneno ya kocha huyo ni kama mtego kwa Simba kutokana na mpango kazi ambao wanao Kagera Sugar kusepa na pointi tatu mbele ya Simba na ikumbukwe…

Read More

MATAIFA YALIYOIPELEKA YANGA KIMATAIFA

MATAIFA matatu yalifanya kazi kubwa kuipaisha Yanga kimataifa na kuipeleka kwenye hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika. Ni kupitia bao pekee la ushindi la Aziz Ki raia wa Burkina Faso ambaye alifunga bao hilo dakika ya 79 akitumia pasi ya Fiston Mayele raia wa DR Congo. Ikumbukwe kuwa kabla ya bao kupatikana lilipita kwenye…

Read More

MBAPPE ATUPIA USIKU MBELE YA REAL MADRID

KYLIAN Mbappe staa wa Klabu ya PSG aliweza kuwatungua bao la ushindi Real Madrid katika mchezo wa UEFA Champions League hatua ya 16 bora. Ilikuwa dakika ya 90+4 nyota huyo aliweza kupachika bao hilo katika mchezo huo wa kwanza uliokuwa mkali mwanzo mwisho. PSG katika Uwanja wa Parc des Princes waliweza kupiga jumla ya mashuti…

Read More

HAJI MANARA:NYOTA WOTE NDANI YA YANGA NI VYUMA

UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa wachezaji wote ambao wamesajiliwa na kikosi hicho kwa msimu wa 2021/22 ni vyuma vya kazi jambo ambalo linawapa tabu benchi la ufundi kwenye suala la upangaji wa kikosi. Yanga ipo nafasi ya kwanza na pointi 15 huku safu yao ya ushambuliaji ikiwa imetupia mabao tisa na ile ya ulinzi imeokota…

Read More