
ARTETA: MIMI SIO MCHEZA KAMALI,AIPIGIA HESABU LIVERPOOL
MIKEL Arteta, Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa yeye sio mcheza kamali hivyo hawezi kutabiri jambo lolote kuhusu matokeo. Kocha huyo kesho Machi 16 ana kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu England. Arteta amesema:”Naona kwa sasa unaona kwamba tumekuwa na muda wa kuwa pamoja na tunafurahia kucheza lakini…