
BOCCO HAJATUPIA NDANI YA LIGI MECHI 14
MSHAMBULIAJI wa Simba, John Bocco hajafunga bao ndani ya ligi kwa msimu wa 2021/22 katika mechi 14 ambazo amecheza. Ikumbukwe kwamba Bocco ni mshambuliaji na ana kibarua cha kutetea kiatu bora ambacho alitwaa baada ya kufunga mabao 16 na asisti mbili msimu wa 2020/21. Msimu huu mambo yamekuwa magumu kwa nyota huyo mzawa ambaye amecheza…