
KISA MAYELE SIMBA WAONYWA
KASI ya ufungaji mabao aliyonayo mshambuliaji Mkongomani wa Yanga, Fiston Mayele kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu imemuibua Ofisa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Senzo Mbatha ambaye ameweka wazi kuwa wapinzani wao katika michezo ijayo wakiwemo Simba wajipange kwani Mayele ataendelea kutetema. Mayele kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC alipiga shuti lililosababisha…