MASTAA YANGA WAKOMBA MABILIONI YA BONASI

USHINDI wa 11 walioupata Yanga, umewapa wachezaji wa timu hiyo bonasi ya Sh 265Mil katika michezo ya Ligi Kuu Bara tangu kuanza kwa msimu huu. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu watoke kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania, mchezo uliopigwa wikiendi iliyopita kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha. Ushindi huo umewafanya…

Read More

YANGA YAZIPIGIA HESABU POINTI ZA NAMUNGO

UONGOZI wa Yanga umebainisha kwamba unahitaji pointi tatu za Namungo kwenye mchezo wa leo Novemba 20 licha ya kwamba utakuwa ni mchezo mgumu. Ikiwa ni namba moja kwenye msimamo na pointi zake 15 baada ya kucheza mechi tano ina kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Namungo FC. Ofisa Habari wa Yanga, Haji Manara amesema…

Read More

MITAMBO YA KAZI HII HAPA SIMBA YATAJWA

ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba amesema uwepo wa nyota kama Clatous Chama, Saido Ntibanzokiza, Kibu Dennis pamoja na wachezaji wengine wote wa Simba unampa nguvu ya kuamua nani ataanza kikosi cha kwanza na kupata matokeo. Ni dakika 1,710 ambazo ni mechi 19 mfululizo za ligi kocha huyo akishirikiana na Juma Mgunda wameongoza bila kufungwa…

Read More

MTAMBO WA MABAO YANGA WATOA NENO

MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ameweka wazi kuwa kazi kubwa ni kusaka ushindi katika mechi zao. Ni Fiston Mayele mwenye mabao 16 ndani ya ligi na mabao matano katika Kombe la Shirikisho Afrika ametupia mabao matano kuanzia hatua ya makundi mpaka robo fainali. Mei Mosi kikosi…

Read More

INONGA APEWA KAZI NYINGINE

BEKI wa kazi chafu ndani ya kikosi cha Simba, Henock Inonga amebebeshwa zigo jipya la kazi ndani ya kikosi hicho na benchi la ufundi chini ya Kocha Mkuu,Pablo Franco. Jukumu hilo jipya kwa sasa ni lile la kuweza kuichezesha timu na kugawa mipira kwa wachezaji wenzake kwenye mechi ambazo anacheza huku akiwa na kazi ya…

Read More

RATIBA LIGI KUU BARA BONGO

LIGI Kuu Tanzania Bara leo Novemba 17,2022 inatarajiwa kuendeea kwa timu kuyeyusha dakika 90 msako wa pointi tatu muhimu. Ihefu ya Mbeya itawakaribisha Polisi Tanzania mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Highland Estate, Mbeya. Mbeya City ya Mbeya itawakaribisha Kagera Sugar, Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Yanga ya Dar itawakaribisha Singida Big Stars, Uwanja wa Mkapa, Dar…

Read More

ANAKUJA MSHAMBULIAJI HUYU WA KAZI YANGA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa utaratibu wao ni uleule kwenye kuleta wachezaji wapya na watafanya utambulisho wa tofauti. Inatajwa kuwa kwa sasa Yanga ipo kwenye hesabu za kumalizana na mchezaji kwenye nafasi ya ushambuliaji kwa ajili ya kuanza changamoto mpya ndani ya kikosi hicho ambacho kimetinga hatua ya robo fainali Mapinduzi 2024.

Read More

BENO KUANZA,KIKOSI CHA SIMBA V YANGA

KIKOSI cha Simba ambacho kitaanza dhidi ya Yanga, Uwanja wa CCM Kirumba kipo namna hii:- Beno Kakolanya Jimmysone Mwanuke Zimbwe Joash Onyango Henock Inonga Taddeo Lwanga Pape Sakho Sadio Kanoute Chris Mugalu Mzamiru Kibu Dennis Akiba Manula Ally Gadiel Kennedy Nyoni Bwalya Kagere Mhilu

Read More

YANGA YASOGEZEWA UBINGWA

LICHA ya kikosi cha Yanga kutinga kwa mara ya kwanza hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, lakini bado timu hiyo imepewa nafasi ya kulibebe taji hilo msimu huu.   Yanga imeshafuzu hatua ya robo fainali baada ya kuongoza Kundi D kwa kukusanya pointi 13, huku jana Jumatano droo ya hatua ya robo…

Read More

UEFA NATIONS LEAGUE KUFIKIA TAMATI WIKIENDI HII, UNAMALIZAJE?

Pengine unaweza kudhani mashindano ya mwaka huu ni kama yamesusiwa na wachezaji, mataifa makubwa yanaanguka viwanjani. Mkeka wako wa UEFA Nations League umetusua au umechanika? Hizi hapa Odds bora wikiendi hii; Uingereza kuitupa karata yake ndani ya Wembley kuchuana na Italia, maumivu ya kupoteza fainali ya Euro 2020 yanaweza kuwapa chachu vijana wa Southgate kupata…

Read More

MRITHI WA PABLO APEWA MASHARTI MAZITO

IKIWA kwa sasa Simba wanasaka nafasi ya mrithi wa Pablo Franco aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, mabosi wa timu hiyo wamebainisha kwamba kocha ajaye lazima awe na ubora na akubali kufanya vizuri kimataifa. Pablo alifutwa kazi Simba Mei 31, mwaka huu na mafanikio yake makubwa ilikuwa ni kutwaa Kombe la Mapinduzi na kutinga robo…

Read More