BIASHARA UNITED YAPATA KOCHA MPYA
UONGOZI wa Biashara United umetangaza benchi jipya la ufundi kwa ajili ya kumaliza mechi nne za msimu 2021/22. Ni Vivier Bahati ambaye alikuwa kocha mkuu, msaidizi wake Daddy Gilbert na meneja Frank Wabale hawa wote wamefutwa kazi. Kocha Mkuu ni Khalid Adam atakuwa kocha Mkuu wa Biashara United ambayo inapambana kushuka daraja kwa sasa. Kwa…