
MUONEANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili
VIGOGO wa Kariakoo, msimu wa 2021/22 wamekwaa kisiki cha mpigo Ilulu mbele ya Namungo kwa kushindwa kusepa na pointi tatu mazima. Msimu huu ushindani umekuwa ni mkubwa na kila timu imeoneana kufanya vizuri katika mechi ambazo inacheza jambo ambalo limekuwa likileta burudani mwanzo mwisho. Vigogo wa Kariakoo, Yanga na Simba walipofunga safari mpaka Ilulu, walikwama…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa utawekeza nguvu kubwa kwenye Kombe la Shirikisho ambalo lipo mikononi mwao na hawatahofia kukutana na wapinzani wao Yanga. Tayari Yanga imekata tiketi ya kutinga hatua ya nusu fainali inasubiri mshindi wa mchezo kati ya Simba na Pamba ili kujua itacheza na nani hatua ya nusu fainali. Meneja wa Kitengo…
LEO Mei 7,2022 watatu ni kumbukizi zao za kuletwa duniani wakiwa ndani ya kikosi cha Simba. Ni mchezaji Erasto Nyoni ambaye ni kiraka huyu msimu huu hajafunga wala kutoa pasi ya bao kwenye mechi za ligi. Mwingine ni meneja wa timu,Patrick Rweyemamu ambaye amekuwa akifanya kazi kwa ukaribu na familia ya michezo. Pia mtunza vifaa…
LIGI Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea leo ambapo kuna mechi zitaendelea kwa mzunguko wa pili kwa kila timu kusaka pointi tatu muhimu. Geita Gold itakuwa na kazi ya kumenyana na Kagera Sugar, Uwanja wa Nyankumbu saa 8:00. Mtibwa Sugar itakuwa na kazi dhidi ya Mbeya City,Uwanja wa Manungu saa 10:00 jioni. Azam FC v KMC…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba wanaweza kufungwa kwenye mechi za ligi ila hilo haliwataondoa kwenye mpango wa kutwaa taji la Ligi Kuu Bara. Kwenye msimamo Yanga ni namba moja ikiwa imecheza mechi 22 na kukusanya pointi 56 ikiwa haijapoteza mchezo zaidi ya kuambulia sare 5 na kushinda mechi 17. Ofisa Habari wa Yanga, Hassan…
UONGOZI wa Azam FC umewaita mashabiki kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Azam Complex leo kuwazomea wapinzani wao KMC ili kuwamaliza mapema kwenye mchezo wa ligi. Timu hiyo ikiwa imetoka kuambulia kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar,leo ina kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya KMC FC. Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit…
LIGI inazidi kupamba moto kwa sasa na hilo lipo wazi hasa ukitazama namna ambavyo timu zinacheza kwa sasa kwenye mzunguko huu wa pili. Ukitazama namna pointi walizoachana kuanzia yule aliyepo nafasi ya mwisho mpaka iliyopo ndani ya 10 bora sio namba ya kutisha na zote kwa sasa bado zinapambania kushuka daraja. Ajabu ni kwamba hata…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi
Manchester City wana nia ya kusaini mkataba na kiungo wa kati wa Manchester United na Ufaransa Paul Pogba, 29, kwa uhamisho huru. (Mail) Pogba angependa kufanya kazi na meneja Pep Guardiola na City wako tayari kumpatia ofa mshindi huyo wa Kombe la Dunia mkataba wa miaka minne. (Guardian) Antonio Conte Meneja wa Brighton Graham Potter…
MADRID, Hispania STRAIKA wa Real Madrid, Mohamed Salah, ameshuhudia Real Madrid ikiichapa Manchester City na kutinga fainali ya Ligi ya Mabingwa, akafurahi na kusema: “Hawa ndio nawataka nijilipizie kisasi.” Salah amesema anawasubiri kwa hamu Real Madrid Mei 28 jijini Paris akitaka kulipiza walivyomuumiza moyo miaka minne iliyopita, alipogongwa na Sergio Ramos akaumizwa mkono, kisha Liverpool…
MANCHESTER, England NYOTA wa zamani wa Manchester United, Ramon Calliste ambaye alitamba utotoni na akina Cristiano Ronaldo na Wayne Rooney, ameliacha soka na kuwa muuza saa za kisasa. Calliste alikuwa akitajwa kama Ryan Giggs ajaye, alitamba katika timu ya vijana ya United. Hata hivyo, jeraha baya la enka alilopata mwaka 2006, lilimlazimisha astaafu soka mapema….
LIVERPOOL baada ya kutinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya juzi, sasa kuna uwezekano wa miamba hiyo ya Anfield kutwaa makombe manne makubwa ‘quadruple’ ndani ya msimu mmoja. Itakuwa ni historia na rekodi ambayo haijawahi kuwekwa England. Liverpool iliichapa Villarreal 3-2 ugenini juzi nchini Hispania, na kuwaondoa vijana hao wa kocha Unai Emery kwa jumla…
Klabu ya Chelsea ya Uingereza imeuzwa rasmi kwa mmiliki mpya na hivyo kufikisha mwisho wa enzi za utawala wa bilionea wa Kirusi Roman Abramovich. Kupitia tovuti ya klabu hiyo imeandika: Klabu ya Chelsea inaweza kuthibitisha kuwa imefikia makubaliano ya uuzwaji wa klabu hii kwa mmiliki mpya, Kundi likiongozwa na Todd Boehly, Clearlake Capital, Mark Walter…
Baadhi ya timu zimeshamaliza misimu kwa kuzijua nafasi zao, zingine bado zinajitafuta huku wengine wakitafuta nafasi ya kuweka heshima kwa wapinzani. Meridianbet tunakupa nafasi ya kuzifuata Odds bora na bonasi kubwa wikiendi hii, mkeka wako uweke hivi; Anfield utachezwa mchezo wa EPL kati ya Liverpool na Tottenham Hotspurs. Licha ya Liverpool kujihakikishia nafasi ya…
SIMBA imefikia makubaliano mazuri na beki wa kati anayekipiga Cape Town City ya nchini Afrika Kusini, Mkongomani, Nathan Idumba. Idumba anasajiliwa na Simba kwa ajili ya kucheza pacha na Mkongomani mwenzake Henock Inonga ambaye ndiye beki tegemeo hivi sasa katika kikosi cha Mhispania, Franco Pablo. Kutua kwa Idumba katika kikosi cha Simba, kutafungua njia…
HASHIM Ibwe,mtangazaji wa Azam TV ameweka wazi sababu inayofanya kila anapotangaza mechi za Simba matokeo kuwa ni sare ndani ya dakika 90 kwa msimu wa 2021/22. Ilikuwa ni kwenye mchezo dhidi ya Yanga uliokamilika kwa suluhu kisha mchezo wa pili ulikuwa ni ule dhidi ya Namungo FC uliochezwa Uwanja wa Ilulu na ubao ulisoma Namungo…