
MAYELE AWAKIMBIZA TANZANIA PRISONS
WAKATI leo kikosi cha Tanzania Prisons ikiwa na kazi ya kuikabili Yanga,safu yake ya ushambuliaji inaonekana kuwa pasua kichwa kwenye utupiaji. Ikiwa imecheza jumla ya mechi 22 ni mabao 15 imeweza kufunga ndani ya ligi katika dakika 1,980 ikiwa na wastani wa kufunga bao moja kila baada ya dk 132. Kinara wa utupiaji wa mabao…