
VIDEO:KOCHA WA INSTA UNITED ATAJA SABABU ZA KUWA HAPO
MELIS Medo aliyekuwa kocha wa Coastal Union ameweka wazi kuwa kila kitu ambacho kinaanza huwa kidogokidogo na kwa sasa atakuwa anaifundisha timu ya Insta United ambayo inashiriki Ndondo Cup 2022
MELIS Medo aliyekuwa kocha wa Coastal Union ameweka wazi kuwa kila kitu ambacho kinaanza huwa kidogokidogo na kwa sasa atakuwa anaifundisha timu ya Insta United ambayo inashiriki Ndondo Cup 2022
KLABU ya Arsenal imemuongezea dili jipya Kocha Mkuu Mikel Arteta hivyo atakuwa hapo mpaka mwaka 2025 akikinoa kikosi hicho kinachoshiriki Ligi Kuu England. Pia kocha wa timu ya Wanawake, Jonas Eidevall yeye atakuwa ndani ya timu hiyo mpaka msimu wa 2023/24 ndani ya timu hiyo. Arteta, alijiunga na timu hiyo mwaka 2019,ameweza kuiongoza timu hiyo…
JANA ulichezwa mchezo wa kukata na shoka ndani ya dakika 90 za kibabe kwa timu zilizojipanga kupata ushindi kwenye mchezo wa kirafiki ili kuweza kutamba mtaani. Ulikuwa ni mchezo wenye uzito wa mchezo uliochezwa Uwanja wa Bora kati ya timu ya Waandishi wa Habari za Michezo dhidi ya Unitalent dakika 90 za moto. Kazi ilikamilishwa…
BEKI wa Klabu ya Simba inayonlewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco, Henock Inonga leo Mei 6 amekabidhiwa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Simba ACP Fans Player of the Month) ya mwezi Aprili. Tuzo hiyo ameweza kuitwaa baada ya kuwashinda mabeki wenzake ambao ni Shomari Kapombe na Joash Oyango ambao waliingia kwenye fainali…
JOSE Mourinho, Kocha Mkuu wa Klabu ya AS Roma ya nchini Italia Jose Mourinho ‘The Special One’ raia wa Ureno kaweka rekodi mpya kwenye ulimwengu wa michezo. Kocha huyo mbabe wa kauli ameweza kuzinoa timu mbali Ulaya ikiwa ni pamoja na FC Porto, Chelsea, Inter Milan, Real Madrid, Manchester United na Tottenham Hotspurs. Mourinho ameweka…
UNAAMBIWA dili la Stephen Aziz Ki kujiunga na Yanga, lina mkono mkubwa wa nyota wa timu hiyo, Yacouba Songne ambaye ni rafiki yake mkubwa. Yacouba na Aziz Ki ni marafiki wa muda mrefu ambao wote ni raia wa Burkinafaso ambapo wamewahi kucheza pamoja nchini kwao kabla ya kila mtu kwenda kusaka maisha kwingine. Chanzo cha…
CEDRICK Kaze, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa matokeo ya sare ambayo wameyapata kwenye mechi za ligi hivi karibuni hayajawatoa kwenye mstari badala yake yamewaongezea hasira ya kuzidi kupambana. Kwenye mechi mbili mfululizo za ligi mbele ya Simba na Ruvu Shooting vinara hao wa ligi waliambulia pointi mbili katika msako wa pointi 6. Akizungumza na…
KOCHA Mkuu wa Manchester City, Pep Guardiola amesema kuwa hana uhakika kuwa kama kipigo mbele ya Real Madrid kitaleta madhara ya kisaikolojia kwa wachezaji wake wa Manchester City kwenye mbio za kusaka ubingwa. City walitupwa nje na Real Madrid na baada ya kipyenga cha mwisho wachezaji walianguka uwanjani kwa huzuni baada ya kushuhudia faida ya…
KILA mafanikio yana zawadi sahihi kutoka kwa Mungu, kauli hii inakamilishwa zaidi na dili nono alilowekewa mezani beki kisiki wa Simba raia wa DR Congo, Henock Inonga Baka na Klabu ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini. Inonga ambaye alijiunga na Simba mwanzoni mwa msimu huu, akitokea katika DC Motema Pembe, tayari ameshajitangazia ufalme mkubwa katika…
IKIWA ni kwa mara nyingine tena mfululizo Tanzania imefanikiwa kuwa miongoni mwa nchi tisa za Afrika ambazo Kombe halisi la Dunia linatarajiwa kutua nchini Mei 31 mwaka huu, katika ziara rasmi ya kombe inayosimamiwa na kampuni ya vinywaji baridi ya Coca Cola ambao ni wadhamini wa mashindano hayo kwa ushirikiano na Shirikisho la soka Duniani…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
WINGA machachari wa RS Berkane ya nchini Morocco, Tuisila Kisinda ameonekana kuwagawa mabosi wa timu hiyo, katika mipango ya kutaka kumrejesha kikosini hapo msimu ujao. Hivi karibuni tetesi zilienea za winga huyo kurejeshwa Yanga katika msimu ujao kwa kile kilichoelezwa kuachana na klabu yake ya Berkane. Yanga ilimuuza Kisinda msimu uliopita kwenda Berkane kwa dau…
JEZI ya nguli wa soka Duniani marehemu Diego Armando Maradona imeweka rekodi baada ya kuuzwa kwa kiasi cha Euro Milioni 7 kwenye mnada huko nchini Mexico ambayo ni sawa na kiasi cha Shilingi Bilioni 17,150,913,157 Jezi hiyo ndiyo iliyovaliwa na Maradona kwenye robo fainali ya Kombe la Dunia la mwaka 1986 iliyochezwa kwenye Uwanja wa…
KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco amesema kuwa mchawi mkubwa wa timu hiyo kushindwa kufanya vyema kwenye michezo mikubwa inatokana na kikosi hicho kutokuwa na wachezaji wenye viwango bora mfululizo jambo ambalo limechangia kushindwa kufanya vyema. Simba mpaka sasa imebaki na matumaini ya kufanya vyema katika michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam, huku wakitolewa…
KLABU ya Real Madrid imeonyesha uimara wake kwa kupata ushindi wa maajabu katika mchezo wa nusu fainali ya pili ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kupindua matokeo mbele ya Manchester City. Sasa Real Madrid inakwenda kukutana na Liverpool kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Liverpool huku Karim Benzema akifunga penalti ya ushindi kwa Real Madrid…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Alhamisi
MABINGWA mara 27 wa Ligi Kuu Bara, Yanga kwa kutoshana nguvu bila kufungana ndani ya dakika 90. Ulikuwa ni mchezo wa matumizi ya nguvu na akili kwa wachezaji wote wa timu mbili kwenye msako wa pointi tatu muhimu. Fiston Mayele, Heritier Makambo na Ngushi utatu huu ulikwama kuitungua Ruvu Shooting kwenye mchezo huo kwa kushindwa…