SIMBA: TUNAANZA NA WYDAD LIGI YA MABINGWA

BAADA ya kukosa ushindi katika michezo miwili ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba imepanga kuanza kupata ushindi dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco. Simba imevuna pointi mbili pekee ikicheza michezo miwili ya Kundi B katika Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast na Jwaneng Galaxy…

Read More

DAKIKA 45, PRISONS 1-2 YANGA

DAKIKA 45 za mwanzo Uwanja wa Nelson Mandela timu zote mbili zimekwenda mapumziko huku Yanga wakiwa mbele. Ni bao la Samson Mbangula wa Tanzania Prisons lilikuwa la kwanza kuwekwa kati dakika ya 9 kisha Salum Feisal alisawazisha dakika ya 23. Dakika ya 43, kiungo Khalid Aucho alifunga bao la pili la kuipa uongozi timu hiyo…

Read More

KARIAKOO DABI INAHITAJI UMAKINI KWA WOTE

WIKIENDI hii shughuli zote za michezo zitasimama kupisha dakika tisini za machozi, jasho na damu ambapo wababe wa soka la Tanzania Simba na Yanga watashuka dimbani kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara mchezo ambao umebeba mambo mengi kuanzia ndani na nje ya uwanja. Ni mchezo ambao umebeba historia kubwa kwa watani hawa ambapo ni bora timu ikose…

Read More

Bashiri na Meridianbet Mechi za Leo

Ijumaa ya leo mechi mbalimbali zinaendelea kuanzia kule Laliga, Bundesliga, Ligue 1 na nyingine nyingi. Huu ndio muda wa wewe kujipigia mkwanja sasa tengenzeza jamvi lako na upige pesa hapa. Kivumbi kitakuwa pale BUNDSLIGA kwenye mechi hii inayowakutanisha FC Cologne dhidi ya Werder Bremen. Timu hizi zimepishana pointi 10 pekee huku ushindi akipewa mwenyeji ndani…

Read More

KUMBE! MAKAMBO ALIMUAMBIA AZIZ KI ATAFUNGA

SABABU kubwa ya Aziz KI kumfuata Heritier Makambo baada ya kufunga bao mbele ya Mtibwa Sugar ni ahadi ambayo alipewa. Mtu wa karibu wa wachezaji hao amesema kuwa Makambo alimuamuambia Aziz KI kuwa atafanya jambo lolote kwenye mchezo huo kufunga ama kutoa pasi. “Makambo alipokuwa benchi alimuambia Aziz KI nenda uwanjani una bao lako hapo…

Read More

AZAM FC:TUNA PRESHA KUBWA KWENYE LIGI

JOHN Matambala, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa wana presha kubwa kwenye ligi pamoja na mechi ambazo wanazicheza kwenye Ligi Kuu Bara. Leo Machi Mosi,2022 Azam FC itawakaribisha Coastal Union kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex. Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza walipokutana Uwanja wa Mkwakwani, Tanga, ubao ulisoma Coastal…

Read More

USHINDI KWA NJIA 100, CHEZA KASINO YA REGAL CROWN 100

Kutana na huu mchezo wa kasino mtandaoni kutoka Meridianbet unaitwa Regal Crown 100, kasino hii imetengenezwa na Amigo. Mchezo una majoka ambayo hujikusanya katika nguzo za malipo. Kupitia bonasi ya Pin Win, unaweza kushinda jackpot tatu za kuvutia. Regal Crown 100 ni mchezo wa kasino mtandaoni wenye nguzo tano zilizowekwa katika mistari minne na ina…

Read More

WAZIRI NDUMBARO ASHINDA MASHINDANO YA GOFU

WAZIRI wa Maliasili, Dkt Damasi Ndumbaro ameibuka mshindi wa mashindano ya Gofu ya Wabunge ya Afrika Mashariki kwa ushindi wa jumla akiwakilisha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Waziri Ndumbaro amepata jumla ya pointi 73 katika ushindi wa jumla zilizofanya aweze kuibuka kidedea. Ndumbaro amesema kuwa ushindani ulikuwa mkubwa kwa kuwa kila mshiriki alikuwa…

Read More