
MTAMBO WA MABAO POLISI TANZANIA NJE WIKI MBILI
STAA wa Polisi Tanzania, Vitalis Mayanga anatarajiwa kuwa nje ya uwanja kwa muda wa wiki sita kabla ya kurejea uwanjani kwa sasa akiwa amebakiza wiki mbili. Mayanga atakuwa nje kwa muda huo akitibu majeraha ambayo aliyapata kwenye mchezo dhidi ya Simba uliochezwa Aprili 10, kwenye Uwanja wa Ushirika, Moshi. Kwenye mchezo huo wa ligi timu zote…