
SERENGETI GIRLS KILA KITU KINAWEZEKANA
KUMEKUCHA kwa wawakilishi wa Tanzania, Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake, U 17 kuweza kuwakilisha nchi kwenye mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia. Maandalizi ambayo walianza kuyafanya awali kabla ya mchezo inaonesha kulikuwa na mpango wa kupata ushindi kwenye mchezo ujao ambao utakuwa na ushindani mkubwa. Kikubwa kwa vijana hawa ambao wanaiwakilisha Tanzania…