
NAHODHA YANGA ASAINI MIAKA MIWILI
NAHODHA na beki wa kati tegemeo ndani ya Yanga, Bakari Mwamnyeto, ameongeza mkataba wa miaka miwili wenye thamani inayotajwa kufikia shilingi milioni 200 kuendelea kukipiga Jangwani. Beki huyo ameongeza mkataba kuendelea kuichezea timu hiyo, baada ya ule wa awali wa miaka miwili kutarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu huu. Mwamnyeto ni kati ya mabeki waliokuwa wakitajwa…