
KOCHA STARS AFICHUA TANZANIA ITAKAVYOFUZU AFCON
BAADA ya kupoteza kwa mabao 2-0 dhidi ya timu ya Taifa ya Algeria katika mchezo wa kusaka tiketi ya kufuzu Kombe la mataifa ya Afrika (Afcon 2023), Kocha Mkuu wa Stars, Kim Poulsen ameweka wazi kuwa atatumia michezo miwili ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (Chan), kama sehemu ya…