
CHEKI NYOTA WALIOKOSA PENALTI BONGO
LIKIWEKWA tuta,asilimia 98 wengi wanahesabu ngoma lazima ijae wavuni lakini kuna mastaa wengi ambao wamekwama kufanya hivyo kwenye uwanja. Kitete cha kutetema hakikuwa kwa Fiston Mayele tu msimu huu hata Meddie Kagere wa Simba alipata kitete cha kufunga. Rekodi zinaonyesha kwamba kitete cha penalti kipo kwa mastaa wa Simba ambao wamekosa penalti nyingi,hapa tunakuletea baadhi…