
GUARDIOLA: KDB ANAFURAHIA KUFUNGA
PEP Guardiola,Kocha Mkuu wa Manchester City amesema kuwa ni lazima nyota wake Kevin De Bruyne,(KDB) awe kwenye furaha kubwa kutokana na kutumia uwezo wake kufunga mabao kila anapopata nafasi. Kevin De Bruyne alitupia mabao 4 mbele ya Wolves wakati timu hiyo ikishinda mabao 5-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu England na kuweza kusepa na pointi…